Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 14,126
- 20,550
Klabu ya Yanga wamekuwa wa kuzodoa zodoa tena kwenye media , wasemaji wamejenga chuki kuliko washabiki, wamefanya chuki kubwa sana. Yanga wamesababisha Simba nayo ianze kujibu na kuonekana wajinga lakini upuuzi ulianzishwa na Yanga.
Ali Kamwe na Shayo[Privadinho] kama wangepata na wanadada wengine wawili wenye tabia kama zao, wanaweza kupata kikundi kizuri cha kusuta na kikawa kinakodishwa kwenda kusuta na kuzodoa ila si kutumika kwenye mpira wetu wa Tanganyika.
Gongo wazi", utopolo ni majina hayana ladha kwa jamii iliyoelimika, ni maudhi na binafsi wasomi wengi huwa hawapendi kwakuwa gongo wazi ni watoto wanazaliwa hivyo si kwa mapenzi yao bali genetical, the same na utopolo, haya majina ikipendezwa hawa comedians waache matra moja.

Viongozi wa Yanga wamekuwa wakivaa jezi za timu pinzani wa Simba kunapokuwa na mechi za kimataifa.
Viongozi wa Yanga badala ya utani wao wanakwenda airport kupokea wapinzani wa Simba na kwenda mbali zaidi kuwapa siri za Simba na kuizomea Simba dhidi ya wapinzani.
Haijawah kutokea Simba akacheza na Al Ahly alafu washabiki wa Zamalek wakaja wamevaa jezi za Simba na kuitukana Al -Ahly.
Watu wachache wameharibu mpira, yupo Ali Kamwe, Shayo[Privadinho], na wakati mwengine Ahmed Ally.
Yanga wanaoana Simba amefungwa Na Waydad wanaizomea Simba badala ya kuungana na simba na bila kujua Simba imeiheshimisha Tanganyika na kusababisha kupata nafasi nne kimataifa.
Yanga imekaa miaka 25, umri wa Wema Sepetu bila kuingia CAF Champions , Simba hawakuwahi kuwazomea kwa hilo na wa Tanganyika wengi hawakuwahi kujua hilo mpaka mwaka huu walipoanza kuitukana Simba na Simba ndio ikajibu mapigo kwa kuweka hizo takwimu wazi.