Vipi ya Yanga na Mazembe?Simba ina True fans mzee acha utani, Yanga ni timu yenye mashabiki wengi kanda ya ziwa na kati, huku mjini ni sisi nikiwa na maana ya Pwani, kaskazini hadi mji kasoro habari.
Mechi yetu ya Confederation tuliyocheza dhidi ya Al masry unaikumbuka pale tulijaza.
Mechi yetu na Azam okwi anatupia goli pekee la ushindi unaikumbuka pale pia tulijaza.
Umehitaji mechi mbili tu au unataka niongeze?
Mechi yetu dhidi ya mbao dodoma tulitapisha Jamhuri ile
Ni mtizamo tu, mashabiki wa hizi timu huwezi pata statistics halisi.Yanga inapokuwa kwenye ubora,Na simba inapokuwa kwenye ubora Simba inaingiza mashabiki wengi viwanjani kuliko Yanga hili lipo wazi nimeshashuhudia
Mara ya mwisho Yanga kuijaza taifa ni vs Mazembe tena ilikua free entry lakini Simba hili lishakuwa kawaida kwenye international games
In addition sijawahi kwenda taifa kwenye game za Simba vs Yanga na nikaona upande wa Yanga umejaa kuliko Simba hata ile Simba yenye chipukizi wengi dhidi ya Yanga ya kina Haruna na Msuva haikutokea hii
Mpaka mbembelezwe na Haji ndio mwende uwanjani!Simba ina True fans mzee acha utani, Yanga ni timu yenye mashabiki wengi kanda ya ziwa na kati, huku mjini ni sisi nikiwa na maana ya Pwani, kaskazini hadi mji kasoro habari.
Mechi yetu ya Confederation tuliyocheza dhidi ya Al masry unaikumbuka pale tulijaza.
Mechi yetu na Azam okwi anatupia goli pekee la ushindi unaikumbuka pale pia tulijaza.
Umehitaji mechi mbili tu au unataka niongeze?
Mechi yetu dhidi ya mbao dodoma tulitapisha Jamhuri ile
Hivi hiyo taarifa ni kweli? Mbona kama imetengenezwa na wahuni hivi, sidhani kama ni kweli kwa kiongozi kama yeye aongee hayo maneno japo kwa sababu sisi ni waafrika sitashangaa sana.
Hakuna takwimu za mashabiki wa hizi timu mbili kwa namba ila kuna makadirioTrue fans wapi kwa misimu mitano timu yenu ilikuwa na hali mbaya kabisa lakini hamkuisaidia,hata Viongozi wenu wanajua kuwa nyie ni matokeo oriented tu,kwahali tuliyokuwa nayo last season, Simba msingeweza kusurvive
Na kwaataarifa yako Yanga ndiyo yenye mashabiki wengi Tz
Yanga ndiyo yenye mashabiki wengi Tz,kama hutaki basiHakuna takwimu za mashabiki wa hizi timu mbili kwa namba ila kuna makadirio
Nipinge kwa ushahidi au kwa hoja kuwa haikuwa hivyo, umeniuliza nikutajie mechi mbili tu za simba za kuanzia 2014-2017 zilizojaza bila kucheza na Yanga.Wala hauna statistics za uhakika, hiyo ni 'guess work'
Ushabiki wa kuenda uwanjani hutegemea na timu gani ipo kwenye 'peak' msimu husika.
Kuna nyakati mkiwa na wachezaji chipukizi chini ya Kibadeni na program yenu ya wachezaji vijana ikafeli hata uwanjani mlikuwa hamuendi kama tu Yanga ambavyo siku hizi hawana morali ya kwenda uwanjani baada ya downfall ya Manji.
Hivyo timu hizi hutegemea ipi ipo kwenye wakati mzuri kipesa.
Turudi kwenye kiini, kama alijua Yanga timu ya Hovyo na sio Bingwa, aliialika ya nini?
Mkuu, waungwana hawafanyi hivyo, wenye akili hawasusi, wenye kujua hawakimbii baki hapa hapa.Yanga ndiyo yenye mashabiki wengi Tz,kama hutaki basi
Kama unazungumzia wenye kadi,utakuwa unazungumzia wa Dsm na mikoa kadhaa kama Moro,Mbeya na Mwanza,ila kuna kitabu Ungekuwa karibu ningekupa ukisome,Nadhani ungepata PichaMkuu, waungwana hawafanyi hivyo, wenye akili hawasusi, wenye kujua hawakimbii baki hapa hapa.
Nipe namba ya Wanachama wa klabu ya Yanga nikupe ya Simba.
Takwimu za mashabiki hakuna aliyenazo hawafahamiki wako kiasi gani ila inasadikika Pwani yote, kaskazini na Morogoro wamejaa mashabiki wa Simba.
Kanda ya Ziwa na kati wamejaa mashabiki wa Yanga lakini cha kushangaza Simba ilivyoenda Musoma ilipata mapokezi ya kifalme uwanja ulitapika kuanzia saa tatu asubuhi.
Yanga ilivyokwenda ilikuwa kawaida tu.
Sasa hili tuliache kwa maana hakuna takwimu sahihi yawezekana ni upepo mzuri wa Simba uliopo.
Tujikite kwenye namba ya wanachama
Kwanini awaombe radhi kwani hamkuwahi kufungwa goli 6-0 kule Morroco?Hii kwa wanachama, mashabiki, wapenzi na wakereketwa wa Timu ya Yanga, mabingwa wa Ligi kuu bara mara 27.
Nicolas Musonye, umetukosea sana kwa maneno mabovu dhidi yetu, sababu za Yanga kujitoa ni dhahiri na haziepukiki.
Wito : Uombe radhi kwa Timu yetu kabla ya mwezi huu kuisha lasivyo sisi Yanga ukija Tanzania tutaitisha maandamano ya kukupinga kwa maneno yako mabaya na kejeli kama si dharau.
Mbona kapaniki sana,wamemuumiza sana? Watu wamejanjaluka hawataki kumlisha burebureNicholas Musonye: Cecafa Kagame Cup will go on with or without Yanga and Simba | Goal.com
Azam of Tanzania are the reigning champions after beating domestic rivals Simba SC last year in Dar es Salaam.www.goal.com
Kuna mashabiki na wanachama, wanachama wanafahamika Simba na Yanga zina matawi hadi Musoma kule sasa ipe namba ya wanachama ndio inafahamika ila mashabiki haijulikani namba yao ni wengi mno.Kama unazungumzia wenye kadi,utakuwa unazungumzia wa Dsm na mikoa kadhaa kama Moro,Mbeya na Mwanza,ila kuna kitabu Ungekuwa karibu ningekupa ukisome,Nadhani ungepata Picha
Mbona kapaniki sana,wamemuumiza sana? Watu wamejanjaluka hawataki kumlisha burebure
Ngoja nijipange mwakani nitafute wadau tufanye utafiti, hata mm nawewe tunaweza fanya hili kwa kutumia sample ya mikoa kadhaaKuna mashabiki na wanachama, wanachama wanafahamika Simba na Yanga zina matawi hadi Musoma kule sasa ipe namba ya wanachama ndio inafahamika ila mashabiki haijulikani namba yao ni wengi mno.
Wapo mpaka vijijini ndani ndani huko si rahisi kujua idadi yao
Kabisa aseeLazima aumie,simba na yanga ni giants wa east Africa,halafu amepanic nini wakati kasema wameongezeka As Vita Motema Pembe na ZESCO,kombe lenyewe wanawania dola 30,000.
Mil kama 62,timu ikae Rwanda, mazoezi,gharama,na bado ikose hiyo hela na bado Club bingwa inawasubiri,nilitamani azam nao wangejito
Mkuu pamoja na hali ya kipindi cha nyuma hatujawahi kupitisha bakuli... halafu yanga enzi za Manji mlijaza uwanja mkiambiwa bure bila kiingilio.True fans wapi kwa misimu mitano timu yenu ilikuwa na hali mbaya kabisa lakini hamkuisaidia,hata Viongozi wenu wanajua kuwa nyie ni matokeo oriented tu,kwahali tuliyokuwa nayo last season, Simba msingeweza kusurvive
Na kwaataarifa yako Yanga ndiyo yenye mashabiki wengi Tz
Hata kipindi cha Manji mlijaza pakiwa hakuna kiingilioWala hauna statistics za uhakika, hiyo ni 'guess work'
Ushabiki wa kuenda uwanjani hutegemea na timu gani ipo kwenye 'peak' msimu husika.
Kuna nyakati mkiwa na wachezaji chipukizi chini ya Kibadeni na program yenu ya wachezaji vijana ikafeli hata uwanjani mlikuwa hamuendi kama tu Yanga ambavyo siku hizi hawana morali ya kwenda uwanjani baada ya downfall ya Manji.
Hivyo timu hizi hutegemea ipi ipo kwenye wakati mzuri kipesa.
Turudi kwenye kiini, kama alijua Yanga timu ya Hovyo na sio Bingwa, aliialika ya nini?
Game ya kuingia free nayo unataka tulinganishe?Vipi ya Yanga na Mazembe?
Kabisa.. ni upepo unavyovumaNi mtizamo tu, mashabiki wa hizi timu huwezi pata statistics halisi.