Hii kwa wanachama, mashabiki, wapenzi na wakereketwa wa Timu ya Yanga, mabingwa wa Ligi kuu bara mara 27.
Nicolas Musonye, umetukosea sana kwa maneno mabovu dhidi yetu, sababu za Yanga kujitoa ni dhahiri na haziepukiki.
Wito : Uombe radhi kwa Timu yetu kabla ya mwezi huu kuisha lasivyo sisi Yanga ukija Tanzania tutaitisha maandamano ya kukupinga kwa maneno yako mabaya na kejeli kama si dharau.
Jamaa mwenyewe Dikteta, tumsusie CECAFA yake hadi kiongozi mpya akichaguliwa.Huyo ni kama chis fulani, alishaiongelea Yanga maneno ya hovyo kipindi iliposusia hayo mashindano.
Kwa ujumla hayo mashindano yamekosa umaarufu, labda CECAFA wabadilishe Katibu Mkuu.
Kwani 'Mumsonye' kasemaj, mkuu!Hii kwa wanachama, mashabiki, wapenzi na wakereketwa wa Timu ya Yanga, mabingwa wa Ligi kuu bara mara 27.
Nicolas Musonye, umetukosea sana kwa maneno mabovu dhidi yetu, sababu za Yanga kujitoa ni dhahiri na haziepukiki.
Wito : Uombe radhi kwa Timu yetu kabla ya mwezi huu kuisha lasivyo sisi Yanga ukija Tanzania tutaitisha maandamano ya kukupinga kwa maneno yako mabaya na kejeli kama si dharau.
AKuna maneno mbofumbofu kasema leo kisa tumekataa kuwa ndondocha wake kumjazia watu kwa tournament yake.
Yani Simba na Gor zikisusa ndio zitamtingisha musonye ila Yanga pruuuuu hata ijitoe milele haina impact tena.Jamaa mwenyewe Dikteta, tumsusie CECAFA yake hadi kiongozi mpya akichaguliwa.
CECAFA hata club na National teams hazifanyi vizuri sababu ya ubunifu zero wa huyu Musonye
Yanga ndo anapigwaga goli 5? Hao si ni Simba? Hapo aombe radhi kwa kuudanganya uma na kuidharirisha Yanga kwa ubovu wa SimbaKatibu mkuu wa cecafa yupo sahihi
Aombe radhi kwa kipi.
Nitajie mechi 2 tu ambazo si za kukutana na Yanga msimu wa 2014 hadi 2017 ambazo mlijaza uwanja kuwazidi Yanga.Yani Simba na Gor zikisusa ndio zitamtingisha musonye ila Yanga pruuuuu hata ijitoe milele haina impact tena.
Kama kwenye mechi za timu yenu husika hamuendi uwanjani mnafaida gani tena?
CECAFA kuna wakati ilikuwa linafanywa figisu la nguvu Simba na Yanga zikutane ili tu watengeneze pesa, sasa hivi Simba peke yake ikicheza na wapinzani wengine tu inakusanya mapato yaliyokuwa yakikusanywa kwenye Derby ya Timu kutoka Kariakoo na Timu kutoka Jangwani.
Unazi nimeweka pembeni nimeandika kama mtu ninaefatilia mpira
Simba ina True fans mzee acha utani, Yanga ni timu yenye mashabiki wengi kanda ya ziwa na kati, huku mjini ni sisi nikiwa na maana ya Pwani, kaskazini hadi mji kasoro habari.Nitajie mechi 2 tu ambazo si za kukutana na Yanga msimu wa 2014 hadi 2017 ambazo mlijaza uwanja kuwazidi Yanga.
Mmejaza uwanja baada ya downfall ya Yanga ndo makelele mnatupigia.
Mpumbavu sana huyu jamaaHii kwa wanachama, mashabiki, wapenzi na wakereketwa wa Timu ya Yanga, mabingwa wa Ligi kuu bara mara 27.
Nicolas Musonye, umetukosea sana kwa maneno mabovu dhidi yetu, sababu za Yanga kujitoa ni dhahiri na haziepukiki.
Wito : Uombe radhi kwa Timu yetu kabla ya mwezi huu kuisha lasivyo sisi Yanga ukija Tanzania tutaitisha maandamano ya kukupinga kwa maneno yako mabaya na kejeli kama si dharau.
Wala hauna statistics za uhakika, hiyo ni 'guess work'Simba ina True fans mzee acha utani, Yanga ni timu yenye mashabiki wengi kanda ya ziwa na kati, huku mjini ni sisi nikiwa na maana ya Pwani, kaskazini hadi mji kasoro habari.
Mechi yetu ya Confederation tuliyocheza dhidi ya Al masry unaikumbuka pale tulijaza.
Mechi yetu na Azam okwi anatupia goli pekee la ushindi unaikumbuka pale pia tulijaza.
Umehitaji mechi mbili tu au unataka niongeze?
Mechi yetu dhidi ya mbao dodoma tulitapisha Jamhuri ile
True fans wapi kwa misimu mitano timu yenu ilikuwa na hali mbaya kabisa lakini hamkuisaidia,hata Viongozi wenu wanajua kuwa nyie ni matokeo oriented tu,kwahali tuliyokuwa nayo last season, Simba msingeweza kusurviveSimba ina True fans mzee acha utani, Yanga ni timu yenye mashabiki wengi kanda ya ziwa na kati, huku mjini ni sisi nikiwa na maana ya Pwani, kaskazini hadi mji kasoro habari.