Nimependa jinsi kocha wa Yanga anavyoyachukulia mashindano ya Mapinduzi

Smt016

JF-Expert Member
Jan 11, 2016
2,287
3,019
Kwanzia mashindano ya Mapinduzi yaanze, Gamondi wala haumizi kichwa juu ya mashindano hayo, squad yake imesheeni watoto wa Yanga B na wachezaji wasiopata namba kwenye kikosi cha Yanga. Mapinduzi cup ni bonanza lisilo na maana wala faida yoyote ile zaidi ya kisiasa, hata ikitokea Yanga wamekutana na timu ngumu au yenye ubora kama Simba, Azam au Singida, ni vyema kocha aachwe abakie na mtazamo wake huo huo pasipo kupewa presha yoyote na mashabiki, au viongozi ili kushinikiza wapangwe wachezaji wa first eleven. Hata Yanga ikifungwa, ifungwe ila squad ibakie vile vile tu.
 
Wakikutana Yanga na simba haitakiwi kuidharau gemu, inabidi gemu iwe full mkoko

Vinginevyo kelele za Makolo zitakuwa kuanzia januari hadi disemba

Utapoongea kidogo tu watu watakutumia poster ya yanga 1 - 9 simba

In short matokeo yoyote yanaingia kwenye history kama inavyokumbushwa history ya 1970+ huko 8-0
 
Kwanzia mashindano ya Mapinduzi yaanze, Gamondi wala haumizi kichwa juu ya mashindano hayo, squad yake imesheeni watoto wa Yanga B na wachezaji wasiopata namba kwenye kikosi cha Yanga. Mapinduzi cup ni bonanza lisilo na maana wala faida yoyote ile zaidi ya kisiasa, hata ikitokea Yanga wamekutana na timu ngumu au yenye ubora kama Simba, Azam au Singida, ni vyema kocha aachwe abakie na mtazamo wake huo huo pasipo kupewa presha yoyote na mashabiki, au viongozi ili kushinikiza wapangwe wachezaji wa first eleven. Hata Yanga ikifungwa, ifungwe ila squad ibakie vile vile tu.
Uandishi unaonyesha kuwa hujapenda, ila kuna uoga fulani umekuingia ghafla. Huko mbele Yanga itapigwa sita
 
Hata ikipigwa sita kwenye kombe la Mapinduzi lina faida gani?
 
Kwanzia mashindano ya Mapinduzi yaanze, Gamondi wala haumizi kichwa juu ya mashindano hayo, squad yake imesheeni watoto wa Yanga B na wachezaji wasiopata namba kwenye kikosi cha Yanga. Mapinduzi cup ni bonanza lisilo na maana wala faida yoyote ile zaidi ya kisiasa, hata ikitokea Yanga wamekutana na timu ngumu au yenye ubora kama Simba, Azam au Singida, ni vyema kocha aachwe abakie na mtazamo wake huo huo pasipo kupewa presha yoyote na mashabiki, au viongozi ili kushinikiza wapangwe wachezaji wa first eleven. Hata Yanga ikifungwa, ifungwe ila squad ibakie vile vile tu.
Mkuu mechi ya leo imeishaje?
 
Ni fursa pia ya vijana kuonekana nakujiimarisha maana mashindano nitofauti sana na mazoezi
 
Kwanzia mashindano ya Mapinduzi yaanze, Gamondi wala haumizi kichwa juu ya mashindano hayo, squad yake imesheeni watoto wa Yanga B na wachezaji wasiopata namba kwenye kikosi cha Yanga. Mapinduzi cup ni bonanza lisilo na maana wala faida yoyote ile zaidi ya kisiasa, hata ikitokea Yanga wamekutana na timu ngumu au yenye ubora kama Simba, Azam au Singida, ni vyema kocha aachwe abakie na mtazamo wake huo huo pasipo kupewa presha yoyote na mashabiki, au viongozi ili kushinikiza wapangwe wachezaji wa first eleven. Hata Yanga ikifungwa, ifungwe ila squad ibakie vile vile tu.

Excuses za kuanza kufel
 
Back
Top Bottom