Kuna mlienda kucheza na timu gani Arumeru....migogoro ni kitu kibaya sana , hata arumeru tulishindwa kutokana na migogoro
Wana JF hebu nifahamisheni kile kipigo cha Yanga jana dhidi ya mtani wake Simba je wana Yanga watakuwa wamejifunza nini, maana nimetafakari toka jana lakini sijapata jibu sahihi mpaka naleta maada hii:spy:
Nilichojifunza mimi kwamba Rangi ya kijani na njano ndio imewatia umaskini Watanzania, kwa hiyo watu huwa wanachukulia kama wanaiuwa CCM, kumbe tunaathirika wengi hata tusioipenda CCM
Nikiwa kama mpenzi wa Yanga nashauri sasa ni wakati muhafaka wa kubadili rangi ya jezi zetu, hii mirangi ya njano inachukiwa mno na Watanzania. Ni hayo tu.
Akili za kijinga kama hizi ndio zinaongeza chuki za watu kuichukia Yanga maana ukishaifungamanisha Yanga na CCM matokeo yake ndio kama yale ya jana, maana watu wanaconsider kwamba wanaiuwa CCM.Yanga taifa kubwa maisha kunakupanda na kushuka,. Ntakupenda yanga bila kujali shida wala raha make we ni moja ya utamaduni wa tanzania,. Nakushukuru kwa kutuletea uhuru,. Achana na lile timu la wabeba maboksi kwa middle class i mean wahindi na waarabu wa enzi hizo kariakoo
Kwani simba kukosa makombe ya tusker, kagame na ligi kuu mwaka jana simba walijifunza nini,. Mpira ndo ulivyo,. Bacelona walifunga real 6, man u kwa aseno 8, man city kwa man u 6,. Yanga itabaki mabingwa wa kihistori tanzania,. Subirini kagame muone,.
Akili za kijinga kama hizi ndio zinaongeza chuki za watu kuichukia Yanga maana ukishaifungamanisha Yanga na CCM matokeo yake ndio kama yale ya jana, maana watu wanaconsider kwamba wanaiuwa CCM.