Yanga kufungwa 5-0 na Simba je wana Yanga wamejiunza nini?

Mchokozi

JF-Expert Member
Feb 9, 2012
215
29
Wana JF hebu nifahamisheni kile kipigo cha Yanga jana dhidi ya mtani wake Simba je wana Yanga watakuwa wamejifunza nini, maana nimetafakari toka jana lakini sijapata jibu sahihi mpaka naleta maada hii:spy:
 
We endelea kulia tu na 5 hizo. Mtachapana bakora na mwisho mtashindwa kusajiri timu mpya. Timu imefulia na uhakika wa kuunda timu bora hamna! Imekula kwenu. Viva Simba Afrika!
 
Wamejifunza kwamba Simba ya leo ya 5-0 ina huruma zaidi kuliko ile Simba ya 7-0 ya enzi zileee!
 
migogoro ni kitu kibaya sana , hata arumeru tulishindwa kutokana na migogoro
 
Kwani simba kukosa makombe ya tusker, kagame na ligi kuu mwaka jana simba walijifunza nini,. Mpira ndo ulivyo,. Bacelona walifunga real 6, man u kwa aseno 8, man city kwa man u 6,. Yanga itabaki mabingwa wa kihistori tanzania,. Subirini kagame muone,.
 
ukweli tumeipat wach tuwe wakweli japo wenzangu waniangalia na kuruka ila tumepigwa vilivyo! ingekuwa bao mbili tungesema ndo mambo ya mpira lakini tano mhn!mbaya sana hii lakini ngoja tujipange
 
Wana JF hebu nifahamisheni kile kipigo cha Yanga jana dhidi ya mtani wake Simba je wana Yanga watakuwa wamejifunza nini, maana nimetafakari toka jana lakini sijapata jibu sahihi mpaka naleta maada hii:spy:

Laana ya wazee wa Yanga kuna mmoja alionyesha korodani zake ndo laana hiyo
 
Nilichojifunza mimi kwamba Rangi ya kijani na njano ndio imewatia umaskini Watanzania, kwa hiyo watu huwa wanachukulia kama wanaiuwa CCM, kumbe tunaathirika wengi hata tusioipenda CCM

Nikiwa kama mpenzi wa Yanga nashauri sasa ni wakati muhafaka wa kubadili rangi ya jezi zetu, hii mirangi ya njano inachukiwa mno na Watanzania. Ni hayo tu.
 
Yanga taifa kubwa maisha kunakupanda na kushuka,. Ntakupenda yanga bila kujali shida wala raha make we ni moja ya utamaduni wa tanzania,. Nakushukuru kwa kutuletea uhuru,. Achana na lile timu la wabeba maboksi kwa middle class i mean wahindi na waarabu wa enzi hizo kariakoo
 
Hiyo rangi kuna uwezekano wakazikwa nayo
 
Yanga taifa kubwa maisha kunakupanda na kushuka,. Ntakupenda yanga bila kujali shida wala raha make we ni moja ya utamaduni wa tanzania,. Nakushukuru kwa kutuletea uhuru,. Achana na lile timu la wabeba maboksi kwa middle class i mean wahindi na waarabu wa enzi hizo kariakoo
Akili za kijinga kama hizi ndio zinaongeza chuki za watu kuichukia Yanga maana ukishaifungamanisha Yanga na CCM matokeo yake ndio kama yale ya jana, maana watu wanaconsider kwamba wanaiuwa CCM.
 
Kwani simba kukosa makombe ya tusker, kagame na ligi kuu mwaka jana simba walijifunza nini,. Mpira ndo ulivyo,. Bacelona walifunga real 6, man u kwa aseno 8, man city kwa man u 6,. Yanga itabaki mabingwa wa kihistori tanzania,. Subirini kagame muone,.

bora umesema!
 
Mchokozi
We ni mchokozi kama ID yako ilivyo kumbuka asiyekubali kushindwa si mshindani.
Ukweli mtupu
Usifananishe rangi ya YANGA ni sawa CCM hizo ni rangi ambazo hazina uhusiano wowote ule kama ni njano hata TAMICO wanayo sasa nao ni CCM? Tui ni tui si maziwa.
 
Last edited by a moderator:
Akili za kijinga kama hizi ndio zinaongeza chuki za watu kuichukia Yanga maana ukishaifungamanisha Yanga na CCM matokeo yake ndio kama yale ya jana, maana watu wanaconsider kwamba wanaiuwa CCM.

Na ndo kitakachowamaliza yanga.
 
Nyie ndo mnauzi kwa propaganda zenu eti yanga ni ccm,. Watu tupo yanga kabla hatujui chadema na bado chadema imekuja tupo chadema na niviongozi,. Acheni upuzi wa kutugawa wanachama wa chadema kiushabiki,. Mbona nyie mwenyekiti wenu ni mbunge wa ccm
 
Nilichojifunza mimi kwamba Rangi ya kijani na njano ndio imewatia umaskini Watanzania, kwa hiyo watu huwa wanachukulia kama wanaiuwa CCM, kumbe tunaathirika wengi hata tusioipenda CCM

Nikiwa kama mpenzi wa Yanga nashauri sasa ni wakati muhafaka wa kubadili rangi ya jezi zetu, hii mirangi ya njano inachukiwa mno na Watanzania. Ni hayo tu.

Huu ndio ukweli!!! Tubadiri jezi ziwe chanikiwiti!
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom