Tetesi: Yanga kucheza na Simba Ngao ya Jamii

Kanuni mpya za mashindano zimebadilishwa kutoka ule utaratibu wa kukutanisha timu za ligi na mwisho bingwa kupatikana

Na Sasa Kwa kanuni mpya bingwa wa ligi atacheza na bingwa wa FA na kama bingwa wa ligi kuu ndo bingwa wa FA, basi mchezo wa ngao ya jamii unakuwa kati ya bingwa na timu ilishika nafasi ya pili
Sasa rasmi Yanga ambaye ndo bingwa wa ligi na FA atacheza na Simba ambaye alishika nafasi ya pili

Hapa moto utawaka
Hawa TFF kila msimu wanabadili kanuni za haya mashindano, cha ajabu hawabadili kanuni mbovu za play off zinazozipendelea timu za ligi kuu na kuzikandamiza za championship 🚮🚮
 
siku timu inayo nufaika na mabadiriko haya ikishuka daraja, zitabadirishwa kuipa kitonga ipande
 
Kanuni mpya za mashindano zimebadilishwa kutoka ule utaratibu wa kukutanisha timu za ligi na mwisho bingwa kupatikana

Na Sasa Kwa kanuni mpya bingwa wa ligi atacheza na bingwa wa FA na kama bingwa wa ligi kuu ndo bingwa wa FA, basi mchezo wa ngao ya jamii unakuwa kati ya bingwa na timu ilishika nafasi ya pili
Sasa rasmi Yanga ambaye ndo bingwa wa ligi na FA atacheza na Simba ambaye alishika nafasi ya pili

Hapa moto utawaka
Kama kanuni ndivyo zilivyo basi siyo tetesi tena
 
Kuleta timu nne ilikuwa kuwasaidia mbumbumbu FC,sasa wameona hawabebeki wamewadondosha chini wapambabe wenyewe
 
Back
Top Bottom