Hakuna moto, nani ahangaike tena juu ya siasa zenu hizo?Kanuni mpya za mashindano zimebadilishwa kutoka ule utaratibu wa kukutanisha timu za ligi na mwisho bingwa kupatikana
Na Sasa Kwa kanuni mpya bingwa wa ligi atacheza na bingwa wa FA na kama bingwa wa ligi kuu ndo bingwa wa FA, basi mchezo wa ngao ya jamii unakuwa kati ya bingwa na timu ilishika nafasi ya pili
Sasa rasmi Yanga ambaye ndo bingwa wa ligi na FA atacheza na Simba ambaye alishika nafasi ya pili
Hapa moto utawaka
Hans RafaelSource?
Chanzo cha habari?Kanuni mpya za mashindano zimebadilishwa kutoka ule utaratibu wa kukutanisha timu za ligi na mwisho bingwa kupatikana
Na Sasa Kwa kanuni mpya bingwa wa ligi atacheza na bingwa wa FA na kama bingwa wa ligi kuu ndo bingwa wa FA, basi mchezo wa ngao ya jamii unakuwa kati ya bingwa na timu ilishika nafasi ya pili
Sasa rasmi Yanga ambaye ndo bingwa wa ligi na FA atacheza na Simba ambaye alishika nafasi ya pili
Hapa moto utawaka
Bandika hapaBodi ya ligi
Simba alifunve tu li Yanga la ccmKanuni mpya za mashindano zimebadilishwa kutoka ule utaratibu wa kukutanisha timu za ligi na mwisho bingwa kupatikana
Na Sasa Kwa kanuni mpya bingwa wa ligi atacheza na bingwa wa FA na kama bingwa wa ligi kuu ndo bingwa wa FA, basi mchezo wa ngao ya jamii unakuwa kati ya bingwa na timu ilishika nafasi ya pili
Sasa rasmi Yanga ambaye ndo bingwa wa ligi na FA atacheza na Simba ambaye alishika nafasi ya pili
Hapa moto utawaka
ChiliSource?
Hamna moto wa kuwaka hapo.Kanuni mpya za mashindano zimebadilishwa kutoka ule utaratibu wa kukutanisha timu za ligi na mwisho bingwa kupatikana