ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 15,774
- 35,994
Kanuni mpya za mashindano zimebadilishwa kutoka ule utaratibu wa kukutanisha timu za ligi na mwisho bingwa kupatikana
Na Sasa Kwa kanuni mpya bingwa wa ligi atacheza na bingwa wa FA na kama bingwa wa ligi kuu ndo bingwa wa FA, basi mchezo wa ngao ya jamii unakuwa kati ya bingwa na timu ilishika nafasi ya pili.
Sasa rasmi Yanga ambaye ndo bingwa wa ligi na FA atacheza na Simba ambaye alishika nafasi ya pili
Hapa moto utawaka