inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 18,306
- 18,771
Mlegezo ni mtindo wa miaka ya 70,ukafufuka 90 katikati...Mimi nawashangaa kuvaa nguo imechanwa kusudiUngevaa tu. Leo sisi tunawashangaa vijana wanavyovaa mlegezo. Wenyewe wanaona ni sawa tu.