Ileje
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 11,798
- 18,037
Mimi ni mpenzi wa Yanga lakini nimechukizwa sana kwa club hii kujihusisha na mambo ya siasa!
Kwamba kwa kuwa Yanga ilishiriki katika kupigania Uhuru wa Tanganyika siyo sababu ya kujihusisha na mambo ya siasa!
Eng. Herse anatumia Yanga kwa maslahi yake binafsi ya kisiasa, kwa hiyo natoa wito kwa wapenzi wote wa soka kupinga vikali kitendo hicho.
Huyu Msomali Eng. Herse anapaswa kufukuzwa katika uongozi. Aidha natoa wito kwa wapenzi wote wa soka kupiga kelele hadi Yanga ifungiwe na FIFA kushiriki mashindano yo yote ya kimataifa ili iwe fundisho kwa vilabu vingine duniani!