Bungeni kwenyewe wakishangilia wanagonga meza. Hapa tunaongelea kuleta vurugu kwa kurusha viti kwa mashabiki wengine.
Hiyo clip haionyeshi mshabiki hata mmoja wa Al Ahly akirusha kiti, wote wako kwenye vibe la kushangilia tu hawana shida na mtu.
Lete evidence sio blah blah,kama ulikuwepo wakati wa tukio na sio kuongea kwa hisia zako lete video za hilo tukioKwanza ungejitahidi kujua mtiririko wa matukio, hao walishambuliwa kwa viti na vitu vingine na ili kujihami ndiyo nao wakarusha viti. Waarabu wanakuja kila siku hapo kwa Mkapa, umewahi kuwaona wakifanya fujo? Mashabiki wa Wydad si waliwasha hizo fataki, uliona mashabiki wa Simba wakiwafanyia vurugu?
Manara hamna watu aliowajaza ujinga kama nyie,striker boco akawaaminisha mko level za barcelona na hiyo kitu ndio inawasumbua kwenye vichwa vyenu mpaka hii leo,nyie ni kupelekwa mirembeManara kawajaza ujinga mmejaa.
Duuh! Dalili za mtu mwenye changamoto ni hizi hapa. Tafadhali mtu aliye karibu naye ampatie msaada wa haraka.Lini tumeenda mbele ya makao makuu yenu? Yaani tuache kupita barabara ya serikali,kisa kuna makao makuu ya 5imba.
Sisi tunawakaribisha kwenye mechi zetu,ila msifanye fujo kama fujo mkafanye kwenye timu yenu.
"Wewe ni mjinga"Isome tena hiyo kauli yako halafu jipige kifua mara tatu huku ukisema kwa sauti kubwa "mimi ni mjinga"
Nani mwenye changamoto kama sio ww unayebishana mpaka na video.Duuh! Dalili za mtu mwenye changamoto ni hizi hapa. Tafadhali mtu aliye karibu naye ampatie msaada wa haraka.
Etu "Sisi tunawakaribisha kwenye mechi zetu", unadhani ni Yanga Day hiyo? Yatapita tu haya, vumilia tu.
Sijawahi kuelewa maana ya kumtukana mtu kwa kumuita mwanamke. Hilo linakuwaje tusi?"Wewe ni mjinga"
Mmoja kati ya hao wanawake ulikuwa ni wewe,
Wewe ni mwanamke wa Al ahly bisha nikutie dole la makato yako makubwa kama try again.
Kweli mkuu yanga inaongoza kundi champions league huko.Manara hamna watu aliowajaza ujinga kama nyie,striker boco akawaaminisha mko level za barcelona na hiyo kitu ndio inawasumbua kwenye vichwa vyenu mpaka hii leo,nyie ni kupelekwa mirembeView attachment 2833640
Ndio nimesema sasa wewe ni mwanamkeSijawahi kuelewa maana ya kumtukana mtu kwa kumuita mwanamke. Hilo linakuwaje tusi?
Duuh, kazi ipoo. Dogo una miaka mingapi? Nisije kuwa naongea na mtoto ambaye hata hajabalehe
Umesahau kunikumbusha na zile 5 ππKweli mkuu yanga inaongoza kundi champions league huko.
Mashabuki wa 5imba wote ni mbumbumbuWenye akili ni wawili tu
MASHABIKI WA SIMBA NA AL AHLY NDO WATAKAOPIGWA FAINI JUU YA HILO...VIELELEZO VIPO VYA WAO KUFANYA HILO TUKIOSerikali imetumia hela kuboresha uwanja,hata Simba wana sehemu jasho lao katika kurepair na hayo yote yalifanywa kwa ajili ya kuheshimisha nchi kwenye mashindano ya kimataifa hasa African football league,club bingwa na AFCON, uwanja sasa hata timu mbali mbali za mataifa mengine wanaulipia na kucheza hapo, lakini hawa wennzetu hawana uchungu, TFF inatakiwa iwapige faini pamoja na Yanga kutoa hela kwa uharibu wote uwanja urekebishwe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mashabiki wa yanga wengi wanavaa jezi za Simba.ni mashabiki wa simba watalipishwa sio yanga
Dah hawa jamaa ni mazuzu kweliHuyo aliepiga teke kiti hadi kung'oka ni shabiki wa Yanga?