Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,163
- 22,739
Tuna UTOTO MWINGI NA USHAMBA. HILI SUALA NILIMWAMBIA MTU AKAISHIA KUNIITA MIMI MKIA. TUMEKUWA KAMA LAST BORN ALIYEDEKEZWA SANA NA ANAYEPENDA KUDEKA.
Tuna UTOTO MWINGI NA USHAMBA. HILI SUALA NILIMWAMBIA MTU AKAISHIA KUNIITA MIMI MKIA. TUMEKUWA KAMA LAST BORN ALIYEDEKEZWA SANA NA ANAYEPENDA KUDEKA.
View attachment 3274925
Nani kasusia match? Jamaa walitujaza kwenye mfumo kipuuzi tu. Wao wamesusia match wapi? Match ilihairishwaNa waliosusia mechi nadhani wangeitwa vichanga. Maana watakuwa bado hawajafika kwenye hiyo level ya utoto.
Simba alisusia mechi kwa kushirikiana na hiyo bodi ya ligi. Kama asingetafuta kisingizio cha kujifanya anaenda kufanya mazoezi, hiyo mechi ingeahirishwa kimagumashi kwa sababu ipi?Nani kasusia match? Jamaa walitujaza kwenye mfumo kipuuzi tu. Wao wamesusia match wapi? Match ilihairishwa
Sasa boss, kwahiyo mlitumika na mkaweka na mabaunsa kabisa kufanikisha shughuli ya kususa?Simba alisusia mechi kwa kushirikiana na hiyo bodi ya ligi. Kama asingetafuta kisingizio cha kujifanya anaenda kufanya mazoezi, hiyo mechi ingeahirishwa kimagumashi kwa sababu ipi?
Tuliaaa! Wewe lastborn tu😀Na waliosusia mechi nadhani wangeitwa vichanga. Maana watakuwa bado hawajafika kwenye hiyo level ya utoto.
Acheni kujidhalilisha! Hao mabaunsa mnaowatumia kama kichaka cha kujificha, walikuwa mia ngapi mpaka wawazuie nyinyi wote kuingia uwanjani? Hoja zenu ni dhaifu mpaka basi.Sasa boss, kwahiyo mlitumika na mkaweka na mabaunsa kabisa kufanikisha shughuli ya kususa?
Wapi Simba amesusia match? Match iliharishwa mbona hili suala halihitaj hata certificate kulielewa?Simba alisusia mechi kwa kushirikiana na hiyo bodi ya ligi. Kama asingetafuta kisingizio cha kujifanya anaenda kufanya mazoezi, hiyo mechi ingeahirishwa kimagumashi kwa sababu ipi?
Wanawake mna kaziWewe kama mama wa familia unaacha kupikia watoto wako na mumeo huko kazi kujadili umbea tu
Yanga imesema lini haya maneno au hujui maana ya double colon ulizoweka baada ya neno Yanga?Tuna UTOTO MWINGI NA USHAMBA. HILI SUALA NILIMWAMBIA MTU AKAISHIA KUNIITA MIMI MKIA. TUMEKUWA KAMA LAST BORN ALIYEDEKEZWA SANA NA ANAYEPENDA KUDEKA.
View attachment 3274925
Mechi si iliahirishwa?Na waliosusia mechi nadhani wangeitwa vichanga. Maana watakuwa bado hawajafika kwenye hiyo level ya utoto.
Kufanya mazoezi kikanuni ni kujifanya kweli mapenzi upuuziSimba alisusia mechi kwa kushirikiana na hiyo bodi ya ligi. Kama asingetafuta kisingizio cha kujifanya anaenda kufanya mazoezi, hiyo mechi ingeahirishwa kimagumashi kwa sababu ipi?
Kwamba wachezajinwangeshuka wakqwapinga ngumi hahahaaaaAcheni kujidhalilisha! Hao mabaunsa mnaowatumia kama kichaka cha kujificha, walikuwa mia ngapi mpaka wawazuie nyinyi wote kuingia uwanjani? Hoja zenu ni dhaifu mpaka basi.
Unachosema ni kuwa hamkuizuia Simba kuingia uwanjani?Acheni kujidhalilisha! Hao mabaunsa mnaowatumia kama kichaka cha kujificha, walikuwa mia ngapi mpaka wawazuie nyinyi wote kuingia uwanjani? Hoja zenu ni dhaifu mpaka basi.
Wapi Simba amesusia match? Match iliharishwa mbona hili suala halihitaj hata certificate kulielewa?
Kwa hiyo mnataka kusema kama Bodi ya ligi isingetoa taarifa ya kuahirisha hiyo mechi, mngeleta timu ile tarehe 8 siyo!!Mechi si iliahirishwa?
Yaani mimi nataka mnipe picha yenye uhalisia! Hao Makomandoo wa Yanga walikuwa wangapi, na walikuwa na silaha gani kiasi cha kuwafanya muogope kuingia uwanjani!Unachosema ni kuwa hamkuizuia Simba kuingia uwanjani?