pye Chang shen
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 11,038
- 5,259
Wamepigwa 4G
Tena kwa nyuma😂👍🤣🤣🤣🤣
Tena kwa nyuma😂👍🤣🤣🤣🤣
Nyuma mwikoYanga daima mbere!
Hapo safi!
Kwanini hamkumwachia Namungo aingie fainali kama kombe mlikuwa hamlitaki?Mmetolea macho fainali ya milioni kumi mashindano ya visiwani eti!!?
Hata iwe FSIMBA B..
4G ndio tatizoMmetolea macho fainali ya milioni kumi mashindano ya visiwani eti!!?
Hongereni kwa kuchukua kombe la mapinduzi ya John Okelo Zanzibar.Kwanini hamkumwachia Namungo aingie fainali kama kombe mlikuwa hamlitaki?
hawa nao wachezaji?Mwamnyeto
Kaseke
Lamine moro
Fei toto
Yacouba
Yasin Mustafa
Farid Musa
Nchimbi
Hao uliwaona mle kwenye kikosi cha Yanga?
Mmeshinda kwa Penalty,sio case!Dk 90 hakuna bao lililofungwa!Kuna mechi yoyote ya Simba ambayo hao wote uliowataja wamecheza kwa pamoja, sambamba nabaadhi ya hao wa kikosi cha kwanza waliocheza leo?
Yasin Mustafa, Bakari Mwamnyeto, Lamine Moro, Fei Toto, James Kaseke, Yakoiba, walichezea Yanga leo? Hao ni wa kikosi cha pili?
wamecheza mechi gani ya kimataifa hawaMwamnyeto
Kaseke
Lamine moro
Fei toto
Yacouba
Yasin Mustafa
Farid Musa
Nchimbi
Hao uliwaona mle kwenye kikosi cha Yanga?
Mechi imeisha kwa suluhu,penalty shoot out ni kama kamari tu!1. Metacha
2. Mwamnyeto
3. Kaseke
4. Lamine moro
5. Fei toto
6. Yacouba
7. Yasin Mustafa
8. Farid Musa
9. Nchimbi
hawa hamna hata mmoja anapata namba kikosi cha simba1. Metacha
2. Mwamnyeto
3. Kaseke
4. Lamine moro
5. Fei toto
6. Yacouba
7. Yasin Mustafa
8. Farid Musa
9. Nchimbi
Simba Club kubwa bhn kikosi kipanahawa hamna hata mmoja anapata namba kikosi cha simba
Manyau bhana hiyo ndo nini sasa. Cheza mpira sio visingizio vya kijinga.wamecheza mechi gani ya kimataifa hawa
At the same time... Mngeshinda tusingekaa mjini kwa kelele zenuMmetolea macho fainali ya milioni kumi mashindano ya visiwani eti!!?
Hongereni Yanga kwa kushinda milioni 15 sawa na ng'ombe kumi wa maziwa.At the same time... Mngeshinda tusingekaa mjini kwa kelele zenu
Mpumbavu weweMpuuzi wewe
Vichaa hawaMmetolea macho fainali ya milioni kumi mashindano ya visiwani eti!!?