Yanga bingwa Kombe la Mapinduzi baada ya kuifunga Simba SC

Yawezekana kweli onyango ana miaka 27 ni maumbile tu, zaidi ya umri huo huwezi kuupiga mwingi kama alivyoupiga leo
 
Kuna mechi yoyote ya Simba ambayo hao wote uliowataja wamecheza kwa pamoja, sambamba nabaadhi ya hao wa kikosi cha kwanza waliocheza leo?
Yasin Mustafa, Bakari Mwamnyeto, Lamine Moro, Fei Toto, James Kaseke, Yakoiba, walichezea Yanga leo? Hao ni wa kikosi cha pili?
Mmeshinda kwa Penalty,sio case!Dk 90 hakuna bao lililofungwa!
 
Paka shume amenyonyoka manyoya Screenshot_20210113-200047.png
 

Similar Discussions

6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom