balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 14,437
- 12,563
We churaaaa nyamaza
Walicheza na waliwapiga sana chenga waghana.... Tatizo hawajui kulenga goli. Sijajua kama na nyumbani pia hawajui kulenga au laa.Mkuu Ngoma, Chirwa na Kamusoko leo hawakucheza? Naomba nifahamishe kwani naandika hii post nikiwa huku " maporini " kabisa.
Na anaongoza kundi kwa kutokea mkiani....Wa "kupigwa Kimataifa"....
Ila walau mtani ana point 1 Kimataifa
Mkija toboa mnyama kesha pita tena kitaaaaambo, natilia mkazo neno TENA.
Kweli wamatopeni hamuishiwi maneno. Hizi mechi mbili zote mlizotuchangia points 6 na magoli ma4 tuliwafunga sababu ya waamuzi eti?Naona jina la Wakimataifa linaendelea kufutika.Uchezeshaji wa mpira Tz unahitaji waamzi sahihi watakao tupatia timu sahihi kwa uwakilishi wenye mafanikio.
Klabu bingwa ya Tanzania Yanga pamoja Na kucheza Mpira kwenye magazeti zaidi Leo wameshindwa Kwa Mara nyingine tena kuutumia vena uwanja wa nyumbani.Yanga Wa kimataifa zaidi wamezidi kuwaonyesha Watanzania kuwa wao Kwa kucheza mpira Na Magazeti ni hatari sana kuliko kucheza uwanjani.Ukisoma magazeti ya Leo utaamini kuwa timu yacGhana itafungwa magoli mengi sana kumbe ni kinyume chake.Yanga , mpiraa ni uwanjani acheni kucheza magazetini
Yanga haichezi kwenye magazeti ila magazeti ndio yanayocheza mpira wa Yanga nakuomba uwe makini na maelezo ya kwenye magazetiKlabu bingwa ya Tanzania Yanga pamoja Na kucheza Mpira kwenye magazeti zaidi Leo wameshindwa Kwa Mara nyingine tena kuutumia vena uwanja wa nyumbani.Yanga Wa kimataifa zaidi wamezidi kuwaonyesha Watanzania kuwa wao Kwa kucheza mpira Na Magazeti ni hatari sana kuliko kucheza uwanjani.Ukisoma magazeti ya Leo utaamini kuwa timu yacGhana itafungwa magoli mengi sana kumbe ni kinyume chake.Yanga , mpiraa ni uwanjani acheni kucheza magazetini
Mkuu Ngoma, Chirwa na Kamusoko leo hawakucheza? Naomba nifahamishe kwani naandika hii post nikiwa huku " maporini " kabisa.
Tusiponde vya Jirani akati hatuna kama hao.huyo chura wao sijui wa milioni 200 uwanjani Leo alikuwa kama Kaoge
Naona jina la Wakimataifa linaendelea kufutika.Uchezeshaji wa mpira Tz unahitaji waamzi sahihi watakao tupatia timu sahihi kwa uwakilishi wenye mafanikio.
Mkija toboa mnyama kesha pita tena kitaaaaambo, natilia mkazo neno TENA.
Kina Mafisango na Okwi vipi?? Ni zaidi ya hawa walio yanga sasa.
Mpaka Simba SC tukifikia hatua ya kusajili wachezaji wa nje kaliba ya hao wa Yanga, nadhani nao hawata kuwa hapo walipo.
Kwa Simba yetu sijui tutawafikia lini. Ngoja tusubiri
Yanga ndio mabingwa wa Tz, huo ni ukweli na si magazetiKlabu bingwa ya Tanzania Yanga pamoja Na kucheza Mpira kwenye magazeti zaidi Leo wameshindwa Kwa Mara nyingine tena kuutumia vena uwanja wa nyumbani.Yanga Wa kimataifa zaidi wamezidi kuwaonyesha Watanzania kuwa wao Kwa kucheza mpira Na Magazeti ni hatari sana kuliko kucheza uwanjani.Ukisoma magazeti ya Leo utaamini kuwa timu yacGhana itafungwa magoli mengi sana kumbe ni kinyume chake.Yanga , mpiraa ni uwanjani acheni kucheza magazetini
" YANGA YAAGA MASHINDANO"Klabu bingwa ya Tanzania Yanga pamoja Na kucheza Mpira kwenye magazeti zaidi Leo wameshindwa Kwa Mara nyingine tena kuutumia vena uwanja wa nyumbani.Yanga Wa kimataifa zaidi wamezidi kuwaonyesha Watanzania kuwa wao Kwa kucheza mpira Na Magazeti ni hatari sana kuliko kucheza uwanjani.Ukisoma magazeti ya Leo utaamini kuwa timu yacGhana itafungwa magoli mengi sana kumbe ni kinyume chake.Yanga , mpiraa ni uwanjani acheni kucheza magazetini