Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,189
- 128,277
Na amesisitiza kuwa polisi wasipotosha ataingiza jeshi hapo livunje viuno hao wanakijiji.
Ndio maana basi wamezingira.tofauti na ngole mkuu kwanza nyumba ni za tembe na unatembea zaid ya mita 500 ndo unakuta nyumba nyinginr
Atapigwa mtu risasi ni muda tu utaongeaLazima aumie mtu huko
Ova
LazimaAtapigwa mtu risasi ni muda tu utaongea
Mbona kila kona hakuna anayeandika sababu ya huo uamuzi wake..
Nini haswa kimejiri?
Wafanyakazi wa Ofisi zote pale posta mtawekwa segerea na keko
Nawaza kwa sauti,siku mradi ukiharibiwa mtaa wa Magogoni pale nini kitatokea.
Mbona kila kona hakuna anayeandika sababu ya huo uamuzi wake..
Nini haswa kimejiri?