Yanayotokea Ngole kwa amri ya RC Mbeya

Yanayotokea Ngole kwa amri ya RC Mbeya

Wana mbeya poleni sana
Ila tiini amri bila shuruti
Utii amri ya kulala selo (cell) kisa mkuu wa mkoa kasema kijiji kizima kiswekwe ndani? No way! [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
 
Hapo utakuta waliyofanya uaribifu huo hawazidi hata 6 lkn wamewaletea wenzao msala mzito

Ova

Ila hii ya kijiji chote kuzombwa, natamani kujua wapo wangapi na kama inahusisha familia zenye watoto.. au na mama zao au wanawake kwa wasichana nao wamesombwa.
 
Tatizo nini au wamekataa kuunga mkono juhudi feki za chama cha mboga mboga.
 
Back
Top Bottom