Du!Kwanza kabisa nawapa pole wale wote wanaopigania haki,mimi najiuliza huyu mtu anayejiita ni Rais wetu haoni yote haya?kwanini anakuwa akifungia macho mambo makubwa hivi,tafsiri ni nini!!je yeye ndio anatoa order?au hana la kusema?my wory ni kuwa i dont even know if he cares kuona watu wanakufa kwa kupigania haki... Je tutafika kweli?? Mkwere...just know u'll one day be responsible for these lost souls...
Rais ana majukumu mengi ya maana kazi hii ya kushughulikia wavunja sheria iko mikononi mwa polisi
Mmepewa taarifa msiandamane mkakaidi, kwanini mnaiingilia kazi za vyombo vya usalama?
Mnapenda kulialia, fanyeni kazi uchaguzi umepita ok
Utakuta waliokufa hawana hata hatia.
Kwanza kabisa nawapa pole wale wote wanaopigania haki,mimi najiuliza huyu mtu anayejiita ni Rais wetu haoni yote haya?kwanini anakuwa akifungia macho mambo makubwa hivi,tafsiri ni nini!!je yeye ndio anatoa order?au hana la kusema?my wory ni kuwa i dont even know if he cares kuona watu wanakufa kwa kupigania haki...
Je tutafika kweli??
Mkwere...just know u'll one day be responsible for these lost souls...
Rais ana majukumu mengi ya maana kazi hii ya kushughulikia wavunja sheria iko mikononi mwa polisi
Mmepewa taarifa msiandamane mkakaidi, kwanini mnaiingilia kazi za vyombo vya usalama?
Mnapenda kulialia, fanyeni kazi uchaguzi umepita ok
Hawa waandamanaje kumbe hawajai hata kanisani pamoja kua yamefanyiwa Arusha ? doooo !!!
Rais wa Tanzania siyo mfalme wa Tanzania; tusiimuone kama mfalme ambaye neno lake basi ndiyo final.
Uhai wa mtu ni bora kuliko hata uhimizaji wako wa kufanya kazi........ YOU SEEM TO BE CARELESS ABOUT SOMEONES LIFE. KAMA KWELI WEWE NI MCHA MUNGU, MANENO USEMAYO YATAKURUDIA, NA ADHABU YAKE UTAIONA HAPA HAPA DUNIA.....
JARIBU KUMWOGOPA MUNGU.... TAMBUA KWAMBA ALIYELETA UHAI DUNIANI, NDIYE ATAKAYECHUKUA UHAI HUO NA SI MWINGINE. HAKUNA MTU AMBAYE ANAMAMLAKA YA KUTOA UHAI WA MTU MWINGINE KWA JINSI YOYOTE ILE........