Yanayosemwa Kenya: Magufuli Kushirikiana na Raila Uchaguzi mkuu



Itakuwa kama kashfa ya Putin kuingilia uchaguzi wa marekani kufanikisha Trump kushinda?

These are nothing but the signs of a dying horse. Uhuru and his Jubilee cabal have themselves to blame if power is snatched from their hands. His party has been the mastermind of grand corruption in Kenya (SGR project, National youth service loot etc). They must stop immediately from dragging Tanzania into their own mess. Uhuru created the mess and he should man up accept the consequences of his creation. He should know already that, CHOICES HAVE CONSEQUENCES.
 
Sio kweli. Tanzania Awezi kuifanyia Kenya hivyo. Hii ni Kutaka kutafuta kura kwa wajinga. Dr JPM ana habari Na ujinga huo. Sana sana yeye na majipu na migodo ya dhahabu. Kwanza ameshamsahau Odinga kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
d30be3f60f0fdf9f612801711346243e.jpg

Huyu sasa ameamua kuwa msemaji wa serikali?
 
Dawa ni kukaa kimya tu.... Haiwezekani kila linalosemwa serikali ikimbilie kukanusha!!!!! Here says die by themselves!!!
 
Aisee upogo, ushaponaga Yale majeraha ya wezi waliokujeruhi? Nlisitika sana kipindi kile nlipoona majeraha ya mapanga alizopost mshikaji wako ambaye simkumbuki, VP ulipata Mali zako baadae ama?
Majeraha yalipona ila vipigo vya kichwani nadhani vilileta damage kubwa sana. Tokea wakati ule hata uandikaji wake unaonyesha kabisa kuna fuse haziko sawa.
 
Kwa huyu bw.misifa simkatalii anaweza kusaidia lolote ili awe salama kiutawala,kwakua ktk uchaguzi 2020 atapewa zombie wa Kenya.na walivyo weusi na wakali,watu watachinjwa kama njiwa.hafai
kabisa huyu mtu.ila jamaa yake nae akishindwa,magufuli ajiandae na ubabe atakaofanyiwa mpaka siku yake ya kaburi.Kenya sio watu wakidogokidogo.watampelekesha mpaka a some namba zote naza kikenya ! Yeye aendee tu na misifa yake hiyo,aikaribishe vita nyumbani hao sio acacia !

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Itakuwa kama kashfa ya Putin kuingilia uchaguzi wa marekani kufanikisha Trump kushinda?


Tafadhar uhuru
Wambie askari wako wafanye kazi yao

Uyu lofa anajifanya mjinja

Sasa anza na watu wake vunja miguu choma moto
Haiwezekan mtu anasumbua wananchi wake afu ela anampa mpuuzo moja et akafanyie kampeni ili wawe wamoja wakatalie madarakan

Uhuru usifanye ujinga na uyu mtu

Na watanzania wanaotaka kutumiwa nchin kenya wajue moja kua
Roho zao ni halali ya wakenya
 
Zitto ndio msemaji wa Ikulu siku hizi?

Sent From Ikulu-Magogoni street
Zitto anajidai Mzalendo ............ wenyewe wameuchuna. Yeye ndiyo wa kwanza kujibu!!

Tuumulize kama alipata majibu kutoka Boing na ka Twitter kake kasikoeleweka!!
 
Zitto nae kajuaje hiyo ni "utter rubbish"? Alipata muda wa kuona evidence, if it exists, kutoka kwa Kuria na kujiridhisha kinachosemwa ni upuuzi mtupu? Huku kujikomba kwa Watawala kunatia aibu kwa hadhi ya mtu aliyejipachika cheo cha " Mkuu wa Chama". Ati dont provoke Tanzania, as if na yeye ni among the top decision makers, labda kupitia kwa mma Anna Mghwira!
Ulitaka awe upande upi kwa mfano!!!!!!!!?
 
Hizo tetesi zimeshika kasi sana huko Kenya, hususani taarifa za kuwepo kituo cha siri cha mawasiliano ya kumjulishia matokeo ya uchaguzi wa Kenya cha NASA hapaTanzania.
Ngoja tusubiri tu, ila uchaguzi wa Kenya ukivurugika, Serikali ya Tanzania ijiandae kupokea lawama pia.
Kwa kuwa wanajua sisi watanzania aswa ccm ni mabingwa wa kazi hiyo.
Zanzibar,Zanzibar,Zanzibar.
Si mnakumbuka ccm walivyogeuza mtokeo uchaguzi uliopita,lowassa chali,ccm noma sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom