Ngoda95
JF-Expert Member
- Sep 15, 2011
- 2,681
- 4,896
Zitto naye kwa "Kiherehere" hajambo.
Sasa yeye ndio msemaji wa serikali? Anaita "rubbish" kwa uhakika upi?
Aache wahusika wakanushe wenyewe. Ajiepushe na "kifront front"
Zitto naye kwa "Kiherehere" hajambo.
Tumbo liko mbele zaidi ya akili zake.Zitto nae kajuaje hiyo ni "utter rubbish"? Alipata muda wa kuona evidence, if it exists, kutoka kwa Kuria na kujiridhisha kinachosemwa ni upuuzi mtupu? Huku kujikomba kwa Watawala kunatia aibu kwa hadhi ya mtu aliyejipachika cheo cha " Mkuu wa Chama"
Kwa ushahidi upi wenye kuthibitisha huko "kusemwa vibaya".?Kwani kuna tatizo? Hujui inapokuja issue ya taifa kusemwa vibaya wote tunakuwa wasemaji wa taifa?
Aepushie mbali laana hizo.I can imagine Kenya ya Odinga, Tanzania ya Magufuli na Rwanda ya Kagame. God have mercy.
Tatizo sio yeye ila uwaziri wa nishati na madini!!Huyu naye ni msemaji wa ikulu siku hizi?
Hata ccm ingesema inamuunga mkono Rais au NASA sio vibaya.Hawa wakenya vipi? mbona juzi juzi tu Lowassa alikuwepo Kenya tena mbele ya wananchi alisema yeye na Chadema wanamuunga mkono Uhuru na Jubilee yake mbona Tanzania haikusema kuna uhaini hapo
Nadhani ni how e deliver but mantiki ni moja.Nyerere hakuwahi kukwaruzana na Kenyata, Moi ama Amin kwenye mambo binafsi bali walitofautiana kimisimamo na kiitikadi. Alimshutumu Amin kwa kumpindua Obote ingawa urafiki wake na Obote ulitokana kwa yeye kuamini kwamba Obote ana misimamo ya Kijamaa zaidi kuliko Kenyatta!
Nauona ukweli kwa mbaali
Itakuwa kama kashfa ya Putin kuingilia uchaguzi wa marekani kufanikisha Trump kushinda?
I can imagine Kenya ya Odinga, Tanzania ya Magufuli na Rwanda ya Kagame. God have mercy.
Ni mzalendo, analipenda taifa LakeZitto naye kwa "Kiherehere" hajambo.
Sasa yeye ndio msemaji wa serikali? Anaita "rubbish" kwa uhakika upi?
Aache wahusika wakanushe wenyewe. Ajiepushe na "kifront front"
Kwa faida ya Kenya hii kitu bora iwe kweli. Raila amejidhalilisha sana kuwa na rafiki na Sizonje. Wakimchagua wajiandae kuwa na Kenya ya hovyo kutokana na ushauri wa hovyo kutoka kwa rafiki wa hovyo.Mark my Words
Uhuru atashinda na kuendelea kuwa Rais wa Nne wa Kenya
NASA wataenda Supreme Court kupinga matokeo, lakini Court itamthibitisha Uhuru kuwa ni Rais halali
Chief Economist
Unfortunately the damage has been done. Tanzanians resident in Kenya are a marked lot.Tuombe uchaguzi tulivu.
Wangeanza kukanusha tuhuma za LissuInabidi Ikulu ikanushe uvumi huu
Lowasaa Edward is behind that fake newsYou Kenyan politians stop using Tanzania as your punching bag to win election, this is not fair, stop this nonsense
Bwana Kilewela, Zitto ni Mzalendo wa kweli anachofanya ni kuweka maslahi ya Nchi mbeleSiku hizi Zitto zubery Kabwe ndiyo kawa msemaji wa serikali yetu? Maana naona kama vile yeye kila siku kama yupo upande wa serikali. Waziri wa Nishati ateuliwe mapema ili hii tabia ikome na Zitto arudi kwenye utimamu wake!
Ndoto zenu za mchana Na hila zenu chadema hazitafanikiwaYeye yuko nje ya serikali anayajuaje yanayofanywa na serikali kwa siri? Hapo kwa kweli kajikomba kuliko hata kahaba anavyo jikomba mbele ya mteja wake.
Hilo jambo kama limefanyika lazima ni kwa siri kubwa kiasi hata baadhi ya maofisa waandamizi wa serikali wasijue. Kwa inteligensia yao Kenya wameligundua hilo. Na ukichukulia kuna urafiki (usio wa kiserekali baina ya rais wetu na mgombea mmoja) uwezekano wa ukweli wa madai hayo ni mkubwa.
Badala ya sisi (akiwemo Zitt) wachezea pembeni kuitaka serikali itoe majibu na kama inajihusisha iache kwani ni kuhatarisha ushirikiano wa Afrika Mashariki tunageuka kuwa watetezi eti tunatetea serikali yetu. Kwa nini Kenya wasiitaje Uganda au Sudan bali sie.
Chokochoko kama hizi ndio zilileta vita ya Uganda na zilivunja jumuia 1977 na kuleta mateso makubwa kwa raia wetu na uchumi kuharibika.
Endeleeni kumpa kichwa Sizonje wakati anatutumbukiza shimoni. Hivi kawalisha nini?
Kwa sababu Magufuli ni kiongozi boraUnajua kuna tofauti kati ya nchi na mtu anayeoongoza serikali kwa niaba ya nchi? Hapo Kenya hawajasema Tanzania bali wamesema Magufuli!