Yanayosemwa Kenya: Magufuli Kushirikiana na Raila Uchaguzi mkuu

Mark my Words

Uhuru atashinda na kuendelea kuwa Rais wa Nne wa Kenya

NASA wataenda Supreme Court kupinga matokeo, lakini Court itamthibitisha Uhuru kuwa ni Rais halali

Chief Economist
Na hapo ndipo Colonel Mtukufu atakapojiona mjinga wa mwisho.

Colonel anataka aweke watu wake wa kuwacontrol ktk nchi zinazotuzunguka eti anajidai nae ni Nyerere wa Leo wakati huo mfumo ulishapita na kumshinda Nyerere
 
Na hapo ndipo Colonel Mtukufu atakapojiona mjinga wa mwisho.

Colonel anataka aweke watu wake wa kuwacontrol ktk nchi zinazotuzunguka eti anajidai nae ni Nyerere wa Leo wakati huo mfumo ulishapita na kumshinda Nyerere
Comrade tentemente
Uhuruto wameshagundua kinachopangwa na Colonel Mtukufu ili kujaribu kumweka Swahiba wake....

Nakuhakikishia
NASA watashangaa tarehe 8 Aug
Pamoja na figisu zao hawataamini

Chief Economist
 
Comrade tentemente
Uhuruto wameshagundua kinachopangwa na Colonel Mtukufu ili kujaribu kumweka Swahiba wake....

Nakuhakikishia
NASA watashangaa tarehe 8 Aug
Pamoja na figisu zao hawataamini

Chief Economist
Jamaa wameshausoma mchezo, Colonel kazidisha chuki kubwa sana kati ya Jaluo na Kikuyu na hii inaweza kutuathiri sana sisi watz kama raia wa kawaida tunaokwenda kujitafutia riziki huko na kurudi.

Hali inazidi kuwa tete kila kukicha, kila mtu anakwambia anakwenda nyumbani, si wasomali, Kikuyu, jaluo, kalenjini, Masai ...
Nadhani mpaka ikifika tarehe moja kila mtu atakuwa kwao.

Hali ni tete kwa sababu jaluo anasema kipindi hiki lazima Raila apewe nchi, Kikuyu anasema jaluo hawezi kamata nchi hata siku moja
 
Taarifa zilizopo ni kuwa
KDF na NIS wamejiandaa kikamilifu kuzima figisu zozote za RAO
Jukumu kuu ni kuhakikisha Uhuruto wanabakia ikulu kwa maslahi mapana ya Kenya
....RAO kushindwa is inevitable


Chief Economist
 
Mark my Words

Uhuru atashinda na kuendelea kuwa Rais wa Nne wa Kenya

NASA wataenda Supreme Court kupinga matokeo, lakini Court itamthibitisha Uhuru kuwa ni Rais halali

Chief Economist
Nani akuamini wakati wote tupo tarehe 23 ya leo ....hiyo tar 8'hatujafika.....kawadaganye wapuuzi wenzio.
 
Kweli Mheshimiwa Rais Magufuli ni family friend wa Raila Odinga kwa hili kwa maslahi ya taifa hakuna haja ya Tanzania kuingilia uchaguzi wa Kenya, na Raila asijaribu kutumia ukaribu wake na Rais Magufuli katika kampeni za uchaguzi huo wa kenya. Tamko binafsi ya Rais Magufuli kuwa Tanzania haiungii upande wowote kwenye uchaguzi huu wa Kenya ni muhimu.
Hilo tamko lilikwishatolewa haina haja kurudia rudia.
 
Tanzania sasa ni taifa lenye uchumi mkubwa, Magufuli kama Vladimir Putin....

Ila kiukweli Rail Omolo Odinga hawezi kushinda uchanguzi wa kenya, labla Odinga aombe msaada wa ma Profesional IT kutoka Israel.... Ndiyo ashinde uchanguzi
Unaongea nini ww hao jubilee wamebinywa kila kona wanatafuta pa kushika

wanatapa tapa tu......siku zao za kutoka madarakani zimeisha.
 
d30be3f60f0fdf9f612801711346243e.jpg
Sasa Zuberi ye kajibu kama nani ? Mwanaume kujipendekeza siyo hulka yetu.
 
Umenifurahisha sana, aaahhhhhaaaaahhhaa, uadui wa Kenya na Tanzania sio mkubwa kama wa USA na Russia hivyo hatutakiwi kufananisha na hali hiyo.
 
Wajinga hao
Wanamtafuta mchawi zaidi yao wao wenyewe
Aisee upogo, ushaponaga Yale majeraha ya wezi waliokujeruhi? Nlisitika sana kipindi kile nlipoona majeraha ya mapanga alizopost mshikaji wako ambaye simkumbuki, VP ulipata Mali zako baadae ama?
 
Back
Top Bottom