Yanayojiri nchini kwa sasa ni laana. Damu ya Lissu inaanza kuitia nuksi nchi

una laana wewe na Baba na Mama yako sio watanzania na tanzania..
Endelea kujifariji......Mbona usiseme ni laana ya damu zilizo mwagwa maaskari wetu walio uwawa kibiti?
hahahaha mnapenda kujifurahisha sana humu jf
Acha matusi jibu hija. Tatizo Lumumba hamnaga akir
 
Una haki ya kutumia uhuru wako wa mawazo, ili hoja na mawazo yako yaheshimike epuke kuandika hisia zako.

Mambo mazito yaliyonukuliwa hapo juu yanahitaji kuwakilishwa na ukweli mtupu, kwa ushahidi usio na mashaka.

Kuna madai ya kugandamiza demokrasia, lakini madai hayo ni ya viongozi wanaotaka ya kwao yasikike tu na wanatumia mitandao ya kijamii na vyombo vya habari bila kubughuziwa.

Kuna madai kama ya shambulio ya Lissu. JF tunatumia ID feki na tunalindwa, hadi Mkurugenzi ana kesi ya kutulinda, lakini hakuna mwanaJF mmoja aliyekuwa jasiri kutoa ushahidi usio na mashaka humu ni nani alimshambulia Lissu.

Viongozi wa dini wana waumini wa kila aina, hadi walio kwenye sehemu nyeti za Serikali, bado wanasimama madhabahuni na kushutumu Serikali pasipo ushahidi.

Ni wakati wa wapinzani kutambua kuwa Serikali inayoongozwa na Mzalendo wa kweli Magufuli itamtetea Mtanzania mnyonge kulingana na Katiba. Na hao watumishi feki wa dini watambue ulaghai wao sasa umefika mwisho.
mtanzania mnyonge ndo yupi huyo unayo msema kila siku maana naona wanyonge wote ndo wanaoumia na kulia kila siku alafu unasema wanyonge wanatetewa *** mmmmh ninamashaka na ww kweli unaishi TZ kwel
 
Bila toba nchi na wenye nchi ( nasema wenye nchi) hawataipona laana hii. Kila mmoja ajiulize ujasiri wa maaskofu hawa umetoka wapi ktk awamu hii iliyo na jicho la ukali?

Huu ujasiri umejengwa na risasi 38 alizomiminiwa kiongozi wa upinzani asiye na hatia ndani ya viunga vya bunge, mbele ya askari wanaolinda nyumba za viongozi na mbele ya CCTV kamera zinazoongozwa na kufuatiliwa na serikali.

Halafu baada ya tukio baya kama hili serikali isiyo na chama, yenye kujali wanyonge, inayoongozwa na rais aliyeapa kuongoza bila huba wala upendeleo ikamtelekeza bila kumpa msaada wowote. Hapa wenye nchi mlikosea mnapaswa kutubu.

Damu ya Lisu inawageuka ili muipate soni na kuanguka mbele za Mungu kutubu. Vinginevyo kila mtu atageuka mkosoaji wa serikali na mtapoteza muda kuwafuatilia.

Mtafuatilia wangapi? Bagonza, Niwemugizi, Shao, Francis, kuna yule wa KKKT (sekuko), na sasa Kakobe. Kuna kitu kimeleta ujasiri huu ambao ccm wanautafsiri kama ukengeufu.

[HASHTAG]#Atubu[/HASHTAG].

Unamaanisha Damu ya Yesu au lisu? Kazi kweli kwani kila mtu ana akili zake
 
una laana wewe na Baba na Mama yako sio watanzania na tanzania..
Endelea kujifariji......Mbona usiseme ni laana ya damu zilizo mwagwa maaskari wetu walio uwawa kibiti?
hahahaha mnapenda kujifurahisha sana humu jf
[HASHTAG]#AKATUBU[/HASHTAG]
 
Bila toba nchi na wenye nchi ( nasema wenye nchi) hawataipona laana hii. Kila mmoja ajiulize ujasiri wa maaskofu hawa umetoka wapi ktk awamu hii iliyo na jicho la ukali?

Huu ujasiri umejengwa na risasi 38 alizomiminiwa kiongozi wa upinzani asiye na hatia ndani ya viunga vya bunge, mbele ya askari wanaolinda nyumba za viongozi na mbele ya CCTV kamera zinazoongozwa na kufuatiliwa na serikali.

Halafu baada ya tukio baya kama hili serikali isiyo na chama, yenye kujali wanyonge, inayoongozwa na rais aliyeapa kuongoza bila huba wala upendeleo ikamtelekeza bila kumpa msaada wowote. Hapa wenye nchi mlikosea mnapaswa kutubu.

Damu ya Lisu inawageuka ili muipate soni na kuanguka mbele za Mungu kutubu. Vinginevyo kila mtu atageuka mkosoaji wa serikali na mtapoteza muda kuwafuatilia.

Mtafuatilia wangapi? Bagonza, Niwemugizi, Shao, Francis, kuna yule wa KKKT (sekuko), na sasa Kakobe. Kuna kitu kimeleta ujasiri huu ambao ccm wanautafsiri kama ukengeufu.

[HASHTAG]#Atubu[/HASHTAG].
Nchi ya kusadikika ya kwenye mitandao ya kijamii ni kweli iko hatarini, ila LITERALLY, NCHI YA TANZANIA mitaani hali iko shwari kwabisa na maisha ni murua, watanzania wanazidi kumuombea rais wao.
 
Lisu ni sawa sisimizi ndani ya Tanzania kwa hiyo kumwagika kwa damu yake hakuwezi kuwa na madhara kwa mtu yeyote
Kuna watu wanakosa msosi sababu walisafiria nyota ya Lissu, kila lissu alipofungua BAKULI lake na kiongea pumba kuna watu walikuwa wanafaidika, sasa wanalia lia tu sababu ya njaa. Wameamua waje kivingine na vijisababu kama vya mleta uzi.
 
U
Nchi ya kusadikika ya kwenye mitandao ya kijamii ni kweli iko hatarini, ila LITERALLY, NCHI YA TANZANIA mitaani hali iko shwari kwabisa na maisha ni murua, watanzania wanazidi kumuombea rais wao.
Usijidanganye mkuu
 
U

Usijidanganye mkuu

JPM ni nominnee wa person of the year. Waafrika, sio tanzania tu, WAAFRIKA wametambua mchango wake. Nyie endeleeni kuishi kwa lufikiria ndani ya kuta za ufipa tu. Dunia inawaacha.

Porojo za mitandaoni peleka ufipa. Endelea kuisho ktk nchi inaitwa social media.
 
una laana wewe na Baba na Mama yako sio watanzania na tanzania..
Endelea kujifariji......Mbona usiseme ni laana ya damu zilizo mwagwa maaskari wetu walio uwawa kibiti?
hahahaha mnapenda kujifurahisha sana humu jf
Kila Mtui anaweza changia anavyo j
Binafsi sioni ubaya wowote wa uncle magu. Tatizo ni kwamba kuna kundi la watu ambalo lenyewe lilijiona kuwa ndilo lenye haki ya kufaidi matunda ya nchi hii. Na wengine Wawe watazamaji tuuuu, sasa akitokea mtu na kusema kuwa nyie hamuwatendei haki wenzenu, kwa sababu matunda mnayokula mengine cyo yenu! Daima mtu huyo atachukiwa vibaya sanaaa. Wanaompiga vita uncle magu ni kundi la wanasiasa, wapiga madili, madalali wa viwanja, nyumba, magari, , wafanyakazi ambao ni wezi. Lkn ukienda kwa wananchi utakuta wapo bize na kazi zao za kila cku, ambazo huwaingizia kipato Chao cha halali. .
Siku zote mtu mkweli ktk jamii yeyote ile huwa hapendwi na watu wengi. Mungu akuzidishie nguvu uncle magu. Kamua hadi atua ya mwisho kwa yeyote atakayeleta ujanja ujanja katika harakati za ukombozi wa Tanzanian yetu..
'Watu wasiojulikana' Je Nani kiKwazo cha Wao kutopatikana hadi kesho January 1 Mwaka 2018
 
Bila toba nchi na wenye nchi ( nasema wenye nchi) hawataipona laana hii. Kila mmoja ajiulize ujasiri wa maaskofu hawa umetoka wapi ktk awamu hii iliyo na jicho la ukali?

Huu ujasiri umejengwa na risasi 38 alizomiminiwa kiongozi wa upinzani asiye na hatia ndani ya viunga vya bunge, mbele ya askari wanaolinda nyumba za viongozi na mbele ya CCTV kamera zinazoongozwa na kufuatiliwa na serikali.

Halafu baada ya tukio baya kama hili serikali isiyo na chama, yenye kujali wanyonge, inayoongozwa na rais aliyeapa kuongoza bila huba wala upendeleo ikamtelekeza bila kumpa msaada wowote. Hapa wenye nchi mlikosea mnapaswa kutubu.

Damu ya Lisu inawageuka ili muipate soni na kuanguka mbele za Mungu kutubu. Vinginevyo kila mtu atageuka mkosoaji wa serikali na mtapoteza muda kuwafuatilia.

Mtafuatilia wangapi? Bagonza, Niwemugizi, Shao, Francis, kuna yule wa KKKT (sekuko), na sasa Kakobe. Kuna kitu kimeleta ujasiri huu ambao ccm wanautafsiri kama ukengeufu.

[HASHTAG]#Atubu[/HASHTAG].
Hebu tuambia na ile ya Chacha Wangwe ilikuwaje, tatizo lipo upande huohuo. Tabia ya kukatana kimo pale mmoja asiye wa kwao anapotaka kuchomoza itawamaliza. Mwisho wa siku mnasingizia watu. Kalagabaho na mapropaginyo yenu.
 
JPM ni nominnee wa person of the year. Waafrika, sio tanzania tu, WAAFRIKA wametambua mchango wake. Nyie endeleeni kuishi kwa lufikiria ndani ya kuta za ufipa tu. Dunia inawaacha.

Porojo za mitandaoni peleka ufipa. Endelea kuisho ktk nchi inaitwa social media.
Heee! Maajabu ya kufungia mwaka. Nilidhani unasema ni mshindi!!!

Na hata akishinda kwa Afrika ni sawa. Maana anashindanishwa na madikteta wenzake. Ingenisumbua sana kama agekuwa kapendekezwa na dunia
 
Rais: ccm
Wabunge majority: ccm
Serikali za mitaa: ccm
Madiwani: ccm (42-1)

Mitaani, kila mtu JPM kaza buti baba, tusonge mbele!
Kila kona kweli ccm imeshikwa.
Uenyekiti alipata 100%
Mbona huongelei hili? Lkn kumbuka Bernard Membe anataka kujua kura yqke ya hapana ilienda wapi? Mpeni jibu.
 
Hivi ulitamani hiyo nchi inywe damu ya wandengereko tu?nchi haichagui damu bana na bado haijashiba kaa tayari itakunywa sana tu.
 
Back
Top Bottom