Kwa sasa mambo yote ya hovyo yamerudi nchini tufanyeje tuikomboe nchi yetu tena?

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
8,992
17,892
Hili taifa linahitaji ukombozi wa pili kwasasa nchi imegeuka shamba la bibi

Yaani sahv Tanzania mambo yote ya hovyo yamerudi

Serikali isiyojali

Utawala wa wenye nchi na wala nchi

Viongozi wasiojali tena na wasio na hofu ya Mungu

Serikali isiyojali wananchi

Rushwa, ufisadi na ukwepakodi

Kila kitu kimeharibiwa kuanzia Tanesco, reli, maji kila miradi imevurugwa yaani

Uzembe umepanda hadi asilimia 10000%

Nchi ni kama haina rais tu nchi imekua kama kuku anayetembea huku amekatwa kichwa

Taifa limepoteza mwelekeo

Sahivi dira,mikakati, na malengo na utekelezaji hamna tena.

Wananchi wamejikatia tamaa wamepuuzwa, wamebezwa, hawasikilizwi, hata wale wa upinzani wengi wao walokua tumaini lao wamegeuka walamba asali

Sasa hivi wakubwa wanajijazilishia mifuko yao tu hii inaitwa chukua chako mapema!! Khee mwashangaa nini si nchi ipo chini ya mama?washaambiwa wale kwa akili kujipimia lakini wasivimbiwe!!

Sasahiv wahuni wanapita na V8 hadi kwenye barabara za mwendokasi na kuchomekea na kusababisha ajali, ukihoji unaulizwa "unanijuwa mimi ni nani?"

Sasa hiv kuna wananchi wenye nchi na wala nchi, nyakati za kusimangwa mkale nyasi ndo hizi nyie kufeni kwa tozo na mfumuko wao wanajipandishia mishahara safari na matozo

Hakuna anayejali tena sahivi watu wanagawana mbao tu kila mtu apite hivi, watu wanakopa wanapiga cha juu hawajali tena hatma....Nyie fieni kwenye hosptali za umma kitanda kimoja watu watatu wao hata mafua tu wanaenda kutibiwa nje

Wana bima za maisha kupitia mkataba wa mwitongo kwamba hadi vizazi vyao vitapewa nchi..

Hii ndo Tanganyika, nchi iliyobarikiwa kila kitu ikalaaniwa kwa kukosa watawala na viongozi wenye akili.
 
Wewe ndio kinara wa kumtukana Magufuli,na ulishangilia alipoondolewa duniani. Sasa kaa kwa kutulia enjoy nchi imefunguliwa.
 
Acha viongozi wafaidi ikiwapendeza mbuga zilizobaki wauze ule mkataba wa Mwitongo wauboreshe isiwe tu watoto iwe hadi ndugu wote!

Shida ya nchi hii sio viongozi ni wananchi kukosa umoja na hata wanapojitokeza wanaharakatii wa kuwatetea wananchi ndio huwashambulia hao wanaharakatii
 
Hata wapumbavu waliokua wanapiga kelele ya kuupiga mwingi sasa wameanza kuelewa kwamba hakuna chochote kinachopigwa.

Vijana wa leo wanasema na bado hamjasema, mtasema tu.
 
Hili taifa linahitaji ukombozi wa pili kwasasa nchi imegeuka shamba la bibi

Yaani sahv Tanzania mambo yote ya hovyo yamerudi

Serikali isiyojali

Utawala wa wenye nchi na wala nchi

Viongozi wasiojali tena na wasio na hofu ya Mungu

Serikali isiyojali wananchi

Rushwa, ufisadi na ukwepakodi

Kila kitu kimeharibiwa kuanzia Tanesco, reli, maji kila miradi imevurugwa yaani

Uzembe umepanda hadi asilimia 10000%

Nchi ni kama haina rais tu nchi imekua kama kuku anayetembea huku amekatwa kichwa

Taifa limepoteza mwelekeo

Sahivi dira,mikakati, na malengo na utekelezaji hamna tena.

Wananchi wamejikatia tamaa wamepuuzwa, wamebezwa, hawasikilizwi, hata wale wa upinzani wengi wao walokua tumaini lao wamegeuka walamba asali

Sasa hivi wakubwa wanajijazilishia mifuko yao tu hii inaitwa chukua chako mapema!! Khee mwashangaa nini si nchi ipo chini ya mama?washaambiwa wale kwa akili kujipimia lakini wasivimbiwe!!

Sasahiv wahuni wanapita na V8 hadi kwenye barabara za mwendokasi na kuchomekea na kusababisha ajali, ukihoji unaulizwa "unanijuwa mimi ni nani?"

Sasa hiv kuna wananchi wenye nchi na wala nchi, nyakati za kusimangwa mkale nyasi ndo hizi nyie kufeni kwa tozo na mfumuko wao wanajipandishia mishahara safari na matozo

Hakuna anayejali tena sahivi watu wanagawana mbao tu kila mtu apite hivi, watu wanakopa wanapiga cha juu hawajali tena hatma....Nyie fieni kwenye hosptali za umma kitanda kimoja watu watatu wao hata mafua tu wanaenda kutibiwa nje

Wana bima za maisha kupitia mkataba wa mwitongo kwamba hadi vizazi vyao vitapewa nchi..

Hii ndo Tanganyika, nchi iliyobarikiwa kila kitu ikalaaniwa kwa kukosa watawala na viongozi wenye akili.
Hahahaha umemsikia na KM CCM Dkt Nchimbi??? Anasema eti viongozi wa serikali wasisemwe hahahahaha anataka kurudishwa utawala wa matabaka.
 
Dunia ina utawala wa aina mbili:
▪︎ Kama ule wa Magufuli (Mkapa na Nyerere included)
▪︎ Kama huu wa Samia (Kikwete na Mwinyi included)

Ukiona unapinga aina ya uongozi wa Magufuli tunatarajia utaunga mkono aina ya uongozi wa Samia. Vice versa is true.

Ukipinga aina ya uongozi wa Magufuli na bado ukapinga uongozi wa Samia, au vice versa; tafsiri yake hauelewi unachokitaka.

Jitafakari.
 
Tukisema tufanye maandamano ya amani, wale wale wanaouziwa sukari elfu tano ndio wanatuponda, wale wale wanajambiana kwenye mwendokasi ndio wanatuponda. Makonda anafanya ufisadi wa wazi kabisa wa misafara isiyo na tija, anaonekana mwamba. Kama Kuna rais ulishamsikia akiwaambia mawaziri wake wale kwa urefu wa kamba zao, weka namba yako nikutumie vocha.
 
Dunia ina utawala wa aina mbili:
︎ Kama ule wa Magufuli (Mkapa na Nyerere included)
︎ Kama huu wa Samia (Kikwete na Mwinyi included)

Ukiona unapinga aina ya uongozi wa Magufuli tunatarajia utaunga mkono aina ya uongozi wa Samia. Vice versa is true.

Ukipinga aina ya uongozi wa Magufuli na bado ukapinga uongozi wa Samia, au vice versa; tafsiri yake hauelewi unachokitaka.

Jitafakari.
Hii inamaanisha bado kama Taifa hatuna maono ya pamoja, lkn tunafuata maono ya mtu mmoja..
Hii nchi kila kitu kipo, taasisi , mamlaka za kidola...sema unafiki, tamaa, kutokujali, kutokufuata sheria, kupendeleana, kutokutii sheria, kutokutenda haki, ubadhirifu wa mali za uma, Uchama-CCM, uvivu, kutokujituma na zaidi UNCIVILIZATION....(Kuna mambo ambayo kama wananchi tunaweza fanya bila kuilaumu serikali lkn hatufanyi- watu wanaishi juu ya mitaro michafu..hawashtuki, kutokujituma n.k)
Sisi waafrika na serikali zetu za waafrika hawa wote tuna matatizo- Itakuwa AKILI zetu hazina akili)

Yaani watu wanaiba mabillioni.hawajengi hata kiwanda- wanapeleka bank za nje...HIZI ni akili hizi...Yaani hata wezi wa kodi zetu hawana akili ya kuwekeza hizohizo pesa zikasaidia maendeleo...
Kila mtu apambanie familia yake
 
Ndiyo mifumo dunia nzima.
▪︎ Marekani kuna Trump v Obama
▪︎ Uingereza kuna Blair v Johnson
N.k
 
Hata wapumbavu waliokua wanapiga kelele ya kuupiga mwingi sasa wameanza kuelewa kwamba hakuna chochote kinachopigwa.

Vijana wa leo wanasema na bado hamjasema, mtasema tu.
Bora samia magufuli alishindwa hata kuongeza misharaha alishindwa kuajiri alilea ukabila bora alienda
 
Dunia ina utawala wa aina mbili:
︎ Kama ule wa Magufuli (Mkapa na Nyerere included)
︎ Kama huu wa Samia (Kikwete na Mwinyi included)

Ukiona unapinga aina ya uongozi wa Magufuli tunatarajia utaunga mkono aina ya uongozi wa Samia. Vice versa is true.

Ukipinga aina ya uongozi wa Magufuli na bado ukapinga uongozi wa Samia, au vice versa; tafsiri yake hauelewi unachokitaka.

Jitafakari.
Usifananishe Nyerere na mkapa na vitu ya kijinga paka wewe
 
Back
Top Bottom