Deleted_account
JF-Expert Member
- Nov 1, 2008
- 3,385
- 3,705
40per ndo nini
40per ndo nini
40per ndo nini
Nimepata taarifa muda si mrefu kwamba people are moving from Tunduru,Masasi,-Liwale,Nachingwea,Newala to Mtwara!...ili waandamane kesho kupinga gesi kuja mjini dar!.....na mabasi ya huko yameshusha bei kabisa like 40 percent...anybody from Mtwara?

Tunduru nayo iko mkoa wa mtwara?
Tunduru nayo iko mkoa wa mtwara?
Tunduru nayo iko mkoa wa mtwara?
40per ndo nini
Ni kweli umeshindwa kumuelewa? Think Great man!!!
Lazima itakuwa nauli, mbona haitaji msuli kuelewa???
40per ndo nini
uoga wako ndiyo umaskini wako! usitambukizeWatahimili FFU katili? Acha waje watakuta dawa inachemka! Wenye mabasi you are risking you investments
uoga wako ndiyo umaskini wako! usitambukize
Nakubali, maana kwa TZ hakuna kitakachobadilika, Hatujafikia kujilipua! Lakini ni vyema kujaribu. Best wishes.