Makamba anatapatapa. Kwani tenda za Uda dar es salaam si kapewa Lizboy. Wajibu now tuhuma hizo. Uwaziri unaota mbawaaaa mwaka huu. Eti kisaa watoto wa vigogo mnapewa uwaziri. Wangapi wana master wizara ya mawasiliano mpaka leo wanasota hapo, mpaka makamba aliyemaliza shule ya msingi miaka ya 2000 awe waziri. Mwaka huu wananchi wanawang'o wote.