Yanayojiri makabidhiano ya cheti Diamond Jubelee

Yanayojiri makabidhiano ya cheti Diamond Jubelee

Tusubiri mambo ambayo yanakuja muda wa siku chache hapo mbele. Suala la Zenj ni tata!
 
Mama Mghwira ametamka na kuomba mambo ya msingi ambayo yakifanyiwa kazi basi tutafika tunapotaka kufika

Magamba hayawezi kumuelewa, kwani wanajua hiyo katiba ya kikoloni na kandamizi inawabeba
 
Ndio Tume hawana makosa lakini ilibidi wahakiki matokeo vizuri na kuyaweka sawa. Tunampongeaza Rais Mteule na Pia tufanye marekebisho kwa tume, kama inafanya kazi kwa ushabiki madhara ni kwa nchi, lakini kwa watanzania ni watu wastaarabu, Hivi angalia Jumla ya watu waliojitokeza kupiga kura. halafu jumlisha kura walizopata wagombea zinazidi kura za waliojitokeza kupiga kura. hapo kwa akili ya haraka unaona ni jisi gani tume hawakuwa makini na ujumlishaji wa kura.

Kura zinaharibikia kwa WAKURUGENZI WA halmashauri za miji na wilaya huko ndiko kunakopikwa matokeo
 
Arusha mgao umerudi pale pale tuko gizani mida hii

hata huku Dar umeme unakatika unarud baada ya SAA moja unakaa dakika tank unakatika halafu kuna mapanya buku eti yanashangilia na kuimba hapa kazi tuu.
 
Kwa hiyo unataka kutuambia time haina hatia..kwani wasimamizi wa uchaguzi ni mawakala au time? Usituchefue hapa..tume ilipaswa kufuatialia from the grassroot..maana yenyewe ndio iliteuwa wasimamizi ikiwemo wakurugenzi...na Kama vyama vimelalamika Kama wanasimamia hali kwanini wasiwasikilize na kuomba vithibiti..instead wanatangaza matokeo kutukomoa wananchi?
:behindsofa:
 
Tetetetetetet hiyo Hati iliandaliwa lini Pamoja na hiyo sherehe ya kukabidhi, kweli Wana haraka
Kwani hati inaagizwa toka ulaya? Mtanyooka tu. Watanzania sio wajinga. Miaka zaidi ya 8 mnaimba ufisadi leo hii fisadi namba 3 kwenye list yenu ndio tumpe nchi. Tulistuka mapema na kwa kutumia vichinjio vyetu vya kikatiba tumewanyoosha
 
Kwani hati inaagizwa toka ulaya? Mtanyooka tu. Watanzania sio wajinga. Miaka zaidi ya 8 mnaimba ufisadi leo hii fisadi namba 3 kwenye list yenu ndio tumpe nchi. Tulistuka mapema na kwa kutumia vichinjio vyetu vya kikatiba tumewanyoosha

Nimependa taswira ya ramani kwenye gazeti la mwananchi - jamaa kaongoza Arusha, Dar , Kilimanjaro na Pemba
 
....."Aongeza kwa kusema ana imani na Rais mteule katika kusimamia na kutenda ayasemayo." nukuu ya yalioandikwa hapo juu kuhusiana na ushiriki wa Ms Mghirwa kwenye sherehe ya leo DJ. Swali la sisi kujiuliza ni kwamba imani hii apeipata lini, kabla au baada ya shughuli za uchaguzi kuanza? Kama ilikua kabla, kwa nini amepoteza pesa za umma kushindana na mtu ambaye alikua anajua tafanya kazi barabara? Kma ni baada, kuna kitu gani kilichotokea kilichomfanya aingiwe imani, na Nd. Magufuli, ghalfa?
 
Tume walipelekewa scanned copies za matokeo yote ya vituoni, kama sikosei. Pia tume ilikuwa na mfumo wake wake wa kuhesabia kura. Sasa hizi scanned copies, na results za mfumo wao NEC wa kujumlisha kura vilitumiwaje? Mazingira ya bao la mkono yamejengwa siku nyingi..tatizo ni sisi wenyewe, na vyama vya upinzani. Hatukupiga kelele vya kutosha kutaka uwazi wa shughuli zote za NEC uongezeke, kabla ya kuoiga kura, kuanzia kwenye BVR ambako ndipo bao la mkono lilianza kusananifiwa. Sasa tujipange, na kuanza kujihami ili tusifungwe bao la pili la kidole kwenye swala la Katiba ya Wananchi.
 
Najua wazi lowasa kanyimwa haki yake kwa kuibiwa kura ila najua pia kuwa magufuri ni mzee wa kazi ya nyuma yamepita tunaomba mh.utufanyie kazi najua huwez kugusa maslahi ya watu km akina rizi na kinana madisaf makubwa yaliyo filisi inchi yetu kwa tembo na kampuni iliyo filisikia wiki illiyo pita ya homeshoping anbayo imejihami baada ya kusikia tingatinga linakuja.
Plz mr.president we are ready 2 forget and 4give if u will deal with these peoples.
Najua wew ni mcha Mungu na ukisema unasema kweli na jua unasema kweli nakutakia safari njema raisi wangu
 
hata tanzania iweje kupata kiongozi mchapakazi awezi badilicha mfumo wa chama cha mapinzuzi kwa kumteua agombee na fasi kuwa ya urais akiwa ndani ya ccm na kubadilisha mwonekano wa ccm hawezekan ni udanganyifu wa sera za kila siku ohoo mm nitafanya hiki ni taboresha kile hakuna nchi hii haina democrasia ni mabavu ya madaraka kupeana.wapinzani hawana haki pasipo sheria people
😛eace:
 
CCM watimiza rasmi kauli yao ya goli la mkono, hata kushangilia wanaona aibu wamebakia majumbani kwa. Wanamtangaza kwa kumwaga Polisi mitaani kuhofia nguvu ya umma. Asnateni NEC kwa kutuchagulia rais na kubaka democracy.

Mtaweweseka sana.
 
Mtaweweseka sana.

Hata ubeze wenzako,ukweli utabakia kwamba wameshinda kwa hila,wao wanajua,mawakala wao wanajua, na wananchi wanajua,ardhi ni shahidi,kuta ziliona,na mbingu pia.goli la mkono limetupatia mtawala.suala la yeye kuwa kiongozi mzuri au la ni suala jingine.
 
Hata ubeze wenzako,ukweli utabakia kwamba wameshinda kwa hila,wao wanajua,mawakala wao wanajua, na wananchi wanajua,ardhi ni shahidi,kuta ziliona,na mbingu pia.goli la mkono limetupatia mtawala.suala la yeye kuwa kiongozi mzuri au la ni suala jingine.

Ndivyo mnavyojidanganya?

Mwizi siku zote hudhani kaibiwa.
 
Ndivyo mnavyojidanganya?

Mwizi siku zote hudhani kaibiwa.

Kama ni mwizi mie alaumiwe aliyenifuga hadi kubobea kwenye wizi.
Ukweli utabakia ukweli.ulaghai,wizi,na mbinu chafu zimewapatia ushindi.ni ushindi nje ya sanduku la kura.ni uhuni wa kisiasa.
 
Ndivyo mnavyojidanganya?

Mwizi siku zote hudhani kaibiwa.

Tatizo la serikali yetu ilikazania sana elimu ya sanaa, ARTS EDUCATION. Mkazo wa elimu ya sayansi haukuwepo. ndo maana hesabu za kujumlisha nakutoa zimetushinda tumebaki kubadirisha tarakimu tu na kuacha kanuni za HESABU!
 
Back
Top Bottom