Yanayojiri makabidhiano ya cheti Diamond Jubelee

Yanayojiri makabidhiano ya cheti Diamond Jubelee

Hakuna sherehe nchi iko katika hali ngumu, kila mtu aelekee kazini, zile show za kampeni hazikuwatosha?
 
Tumebakia kudanganywa na AMANI, eti tutunze amani wakati Gesi anachukuwa mchina, Dhahabu wazungu, Wanyama Waarabu. Watanzania wakitakakujua Rasilimali zao Wapuuzi CCM wanatuambia tutunze AMANI. Amani my asssssssssss. F^%$$# AMANI. Hiyo AMANI ndio itanipa ajira au Elimu? Tumepumbazwa vibaya sana na CCM. CCM wanauza nchi kwa Wageni huku wakituambia tuilinde AMANI na sio Rasilimali zetu.

Kwahiyo unataka kufanyaje kwa mfano???
 
Magufuli futa katiba mpya punguza mafao wa wabunge na mawaziri, kusanya kodi, mbunge alipwe kulingana na elimu yake.

Haiwezekani muhongo alipwe sawa na sugu darasa la saba.
 
Mama Mghwira ametamka na kuomba mambo ya msingi ambayo yakifanyiwa kazi basi tutafika tunapotaka kufika
 
Jamani mbona hakuna kiongozi hata mmoja kutoka zanzibar kwenye sherehe ya kukabidhiwa cheti ya magufuli na suluhu?

12115534_1006967119367282_318609830335811601_n.jpg
 
Mkuu, miye naona Tume hawana makosa kwa sababu wao wanasema walikuwa wanatangaza matokeo kama "wanavyoyapokea" kwa maana kwamba hawakufanya edit yoyote tofouti na kujumilisha idadi, kama wametoa idadi ya jumla kuwa tofauti na ile waliyopokea hapo ndo pa kulaum Tume, lakini kama matokeo yalichezewa yakiwa njiani kutoka majomboni kwenda Tume hilo sio kosa la Tume. Aidha, kama yalichezewa wakati wa kuyajumlisha huko majimboni hiyo ni kazi ya mawakala waliowekwa na vyama.

Wanafanya makusudi mazima! Hata akili ya kusema uchaguzi huu ni wa vyama vingi ngoja japo tuwasikilize kwa siku moja na tuone hoja zao wameshindwa??
 
Mkuu, miye naona Tume hawana makosa kwa sababu wao wanasema walikuwa wanatangaza matokeo kama "wanavyoyapokea" kwa maana kwamba hawakufanya edit yoyote tofouti na kujumilisha idadi, kama wametoa idadi ya jumla kuwa tofauti na ile waliyopokea hapo ndo pa kulaum Tume, lakini kama matokeo yalichezewa yakiwa njiani kutoka majomboni kwenda Tume hilo sio kosa la Tume. Aidha, kama yalichezewa wakati wa kuyajumlisha huko majimboni hiyo ni kazi ya mawakala waliowekwa na vyama.

Ndio Tume hawana makosa lakini ilibidi wahakiki matokeo vizuri na kuyaweka sawa. Tunampongeaza Rais Mteule na Pia tufanye marekebisho kwa tume, kama inafanya kazi kwa ushabiki madhara ni kwa nchi, lakini kwa watanzania ni watu wastaarabu, Hivi angalia Jumla ya watu waliojitokeza kupiga kura. halafu jumlisha kura walizopata wagombea zinazidi kura za waliojitokeza kupiga kura. hapo kwa akili ya haraka unaona ni jisi gani tume hawakuwa makini na ujumlishaji wa kura.
 
Yaaani leo unafiki wa Mengi umemponza....alipotajwa Lowasa watu ITV it
 
Mkuu, miye naona Tume hawana makosa kwa sababu wao wanasema walikuwa wanatangaza matokeo kama "wanavyoyapokea" kwa maana kwamba hawakufanya edit yoyote tofouti na kujumilisha idadi, kama wametoa idadi ya jumla kuwa tofauti na ile waliyopokea hapo ndo pa kulaum Tume, lakini kama matokeo yalichezewa yakiwa njiani kutoka majomboni kwenda Tume hilo sio kosa la Tume. Aidha, kama yalichezewa wakati wa kuyajumlisha huko majimboni hiyo ni kazi ya mawakala waliowekwa na vyama.

Kwa hiyo unataka kutuambia time haina hatia..kwani wasimamizi wa uchaguzi ni mawakala au time? Usituchefue hapa..tume ilipaswa kufuatialia from the grassroot..maana yenyewe ndio iliteuwa wasimamizi ikiwemo wakurugenzi...na Kama vyama vimelalamika Kama wanasimamia hali kwanini wasiwasikilize na kuomba vithibiti..instead wanatangaza matokeo kutukomoa wananchi?
 
Back
Top Bottom