Yanayojiri: Kwa SMS Hivi Sasa

1954tanu

JF-Expert Member
Jul 19, 2013
1,038
487
Pole na Majukumu ya kila siku Mtanzania Mwenzangu, vipi Umeshapata MAISHA BORA kama walivyokuahidi CCM Mwaka 2005 Na 2010? Anayekuuliza sio Mwanasiasa! Yaani, Mwanaharakati!! Hebu jiulize
wanaotoa Ahadi Wanakuonaje Wewe?
1.Ni -----
2.Ni Mjinga
3.Mpumbavu
4.Mwehu
5.Mwendawazimu
6.Una Ubongo wa kuku Yaani, Msahaulifu.
Mbona Wenyewe wana Maisha Bora! Kwanini wewe huna au Wenzetu sio Watanzania? Kazi Kwako Mwaka 2015 Nikutakie Tafakari Njema MATUMAINI NA JIoni NJEMA
 
Japo ni wazi tena ni kweli tupu bidii ya mtu huleta ustawi kwa maisha yake ila kamwe HATUWEZI KUUPUZA KUWA SIASA NA WANA SIASA wanatengeneza mazingira mazuri au mabaya kwa kuinuka ama kuanguka nkwa jamii nzima kiuchumi,kielemu,kiafya au kwa maisha kwa kwa ujumla.
 
Ivi barabara nzuri itakuja kwa juhudi yako uchumi mbovu utakuja Kwa juhudi yako tatizo watanzania maisha bora wanadifine kuwa na vitz
 
Wanasiasa hawa wa C jamii y akina Kikwete hawana uwezo wa kutimiza ahadi zao. Mwulizeni hadi leo ile ahadi ya kujenga uwanja wa ndege wa kisasa Misenyi kaanza? Au anadhani tumesahau? Ndiyo wanasiasa wanaweza kutengeneza mazingira ya mimi kupata maisha bora au mabovu. Huwezi bisha juu ya hili. Mfano wametengenezamazingira magumu ya sisi wakulima wa mahindi hapa Ruvuma kushindwa kupata haki yetu. Mimi nililima kwa nguvu zangu mwenyewe. Sasa hawa wameleta kikwazo kikubwa. Utaniambiaje nijiletee mwenyewe maisha bora wakati unaniwekea vikwazo? Nyie kina Ngongo, Simiyu na Lizaboni jitafakarini kabla ya kujibu hapa.
 
Sikuhitaji ahadi za CCM au chama chochote kujitengenezea maisha bora... yes nina maisha bora ukilinganisha na 2005, 2010 lakini kwa juhudi zangu... Na ukweli utaendelea kuwa hivyo daima.

Hivi maisha bora unayapima kwa vigezo vipi, kuwa na nyumba, gari na kubadilisha mboga tu! Kwahiyo wewe huitaji wanao waende shule nzuri, wahudumiwe hospitali zenye wataalam na madawa ya kutosha?
 
Inashangaza sana kama humu ndo tuna amini wengi wetu ni waelewa.lakini ndo hatujui umuhimu wa siasa katika maenendeleo yetu binafsi vipi ma million waliopo?.ni kweli una maisha bora sasa ila kama kungekuwa na wanasiasa wazuri hayo maisha yako yangekuwa 10 times
 
Sikuhitaji ahadi za CCM au chama chochote kujitengenezea maisha bora... yes nina maisha bora ukilinganisha na 2005, 2010 lakini kwa juhudi zangu... Na ukweli utaendelea kuwa hivyo daima.

Aliye na maisha bora leo hii ni kwa juhudi zake tu na wala siyo kwa kudanganywa eti kapewa. Na ni kwa muktadha huo angekuwa na maisha bora hata kama chama tawala ni TANU,ASP, CCM, CUF, NCCR, UDP, UPDP, CHADEMA, au hata kama bila chama!
 
Maisha bora hayaletwi na serikali mkuu. Ukisubiri serikali utajikuta unazeeka na mawazo kama wazee wa EA

Kwa hiyo kila mtu awe na mradi wake wa maji,barabara na hili tatizo la huduma mbovu za afya na MSD kugoma kusambaza madawa na vifaa tiba kila mtu afanye juhudi binafsi amiliki hospitali na duka lake la dawa? Kwa siku natumia sh 5000 Kwa kununua maji hivyo kwa mwezi ntatumia sh 150,000 kwa ajili ya maji tu ambayo kama kungekuwa na mipango mizuri ya kodi zangu yangepatikana kwa bei nzuri na kunipa unafuu wa maisha lakini kwa sababu ya ufisadi wa magamba najikuta nakosa huduma hii muhimu.hapo bado afya,elimu mbovu,usafiri huku vipato vyetu vinatia huruma.ccm kweli imechoka hadi hata hii misukule yake inayopiga porojo hapa imechoka mbaya
 
kwahiyo barabara maji hosipitali zinaletwa na nani! kweli wewe ni mlemavu wa akili kama makonda

Mlemavu wewe unayesubiri.watu wanamaiaha bora kabla hata ta hizo barabara na hospitali unazosemea wewe,sasa kwa akili zako za mtumba,endelea kuisubiri serikali.
 
Back
Top Bottom