Yanayojiri: Kwa SMS Hivi Sasa

Yanayojiri: Kwa SMS Hivi Sasa

Maisha bora ni mipango na jitihada zako.

Kwa hiyo, Ilani za Uchaguzi za CCM kwa kila uchaguzi ni changa la macho?

Kwa hiyo, mawaziri, viongozi wa CCM wanaopita huku na huko kukagua utekelezaji wa ilani ya chama ni wazushi?

Kwa hiyo, bajeti za maendeleo za kila wizara kila mwaka ni changa la macho na wizi mtupu wa viongozi wa serikali ya CCM?

Kwa hiyo, kodi tunatozwa na kulipishwa kodi kwa kila bidhaa na huduma ni kwa ajili ya mafisadi CCM na sio kwa maendeleo ya wananchi?

Kwa hiyo, unataka kusema, hospitali na vifaa tiba vyake vitaendelezwa na kila mwananchi kwa mpango wake?

Kwa hiyo, Tanzania chini ya mafisadi CCM ni nchi ya pekee ulimwenguni ambayo serikali yake haijihusishi na kuwaletea maendeleo wananchi wake?

Huyo Chikwete, CCM no.1, huo uvasco da gama anaoufanya haujamwezesha kujifunza kuona kwamba maendeleo ya CHINA na Vietnam alikotoka yametokana na serikali!

Ama kweli! CCM janga la kitaifa! Ndio maana kumbe elimu inabomoka kila uchao, hospitali hazina dawa wala vifaa tiba. Umasikini miongoni mwa watanzania unapaa kila siku!
 
Kwani anayoahidi Slaa na Mbowe lipo hata moja walilofanikisha kwa asilimia 70 ?

kama unafikiri kama sisimizi au ni ushabiki tu nawaonea huruma ndugu zako na taifa kwa ujumla. Slaa aliahidi nini akatimiza au asitimize? Aliomba ridhaa ili awe rais atumie rasilimali za taifa kwa maslahi ya taifa. Je ulimpatia? Au atimize ahadi gani na kwa mamlaka gani?
 
Mwambie kijana mana asije sema masikini sababu ya chichiem dogo
Sikuhitaji ahadi za CCM au chama chochote kujitengenezea maisha bora... yes nina maisha bora ukilinganisha na 2005, 2010 lakini kwa juhudi zangu... Na ukweli utaendelea kuwa hivyo daima.
 
Mlemavu wewe unayesubiri.watu wanamaiaha bora kabla hata ta hizo barabara na hospitali unazosemea wewe,sasa kwa akili zako za mtumba,endelea kuisubiri serikali.[/QUOTE
akili kisoda nguvu kontena inamaa kodi yako inafanya nini

Mbona unajaa povu kiboyaboya tu, hiyo serikali unayoisemea imekufanyia nini wewe binafsi hadi sasa? Komaa acha kijilegeza mtoto wa kiume
 
Don't wait for extraordinary opportunities. Seize common occasions and make them great. Weak men wait for opportunities; strong men make them.
 
Maisha bora unayatengeneza mwenyewe. Au kama kuna mwenye mfano wa aliyetengenezewa maisha bora na hii serikali, aje aseme hapa
 
Kwani anayoahidi Slaa na Mbowe lipo hata moja walilofanikisha kwa asilimia 70 ?

We bure kweli , umesikia wao wanaongoza serikali? Kama huna hoja ni bora ukasoma za wenzako halafu ukatulia.
 
swali zuri sana..
je ahadi zimekuletea maisha bora?
wewe ulieyapata kwa kua punda,mwizi au namna ingine hatukuzungumzii. hapa ajobu mtanzania halisi.
 
Wanasiasa hawa wa C jamii y akina Kikwete hawana uwezo wa kutimiza ahadi zao. Mwulizeni hadi leo ile ahadi ya kujenga uwanja wa ndege wa kisasa Misenyi kaanza? Au anadhani tumesahau? Ndiyo wanasiasa wanaweza kutengeneza mazingira ya mimi kupata maisha bora au mabovu. Huwezi bisha juu ya hili. Mfano wametengenezamazingira magumu ya sisi wakulima wa mahindi hapa Ruvuma kushindwa kupata haki yetu. Mimi nililima kwa nguvu zangu mwenyewe. Sasa hawa wameleta kikwazo kikubwa. Utaniambiaje nijiletee mwenyewe maisha bora wakati unaniwekea vikwazo? Nyie kina Ngongo, Simiyu na Lizaboni jitafakarini kabla ya kujibu hapa.
Wee kijana mvivu sana. Kula kulala tu huna jipya..angalau haka kakazi ka kutaja taja majina ya watu hapa jf ndio kanakuingizia riziki
 
kama unafikiri kama sisimizi au ni ushabiki tu nawaonea huruma ndugu zako na taifa kwa ujumla. Slaa aliahidi nini akatimiza au asitimize? Aliomba ridhaa ili awe rais atumie rasilimali za taifa kwa maslahi ya taifa. Je ulimpatia? Au atimize ahadi gani na kwa mamlaka gani?

hata ya kuheshimu katiba ya chadema imemshinda na amechakachua katiba abakie madarakani, je huyu Mbowe akipewa urais si atakuwa kama Blais Compaore! hamna jipya.Lema aliahidi ambulance na akapewa msaada ziko wapi? kama hata hicho kidogo wanaiba je wakipewa nchi itakuwaje? Tupa kureeee!
 
kama unafikiri kama sisimizi au ni ushabiki tu nawaonea huruma ndugu zako na taifa kwa ujumla. Slaa aliahidi nini akatimiza au asitimize? Aliomba ridhaa ili awe rais atumie rasilimali za taifa kwa maslahi ya taifa. Je ulimpatia? Au atimize ahadi gani na kwa mamlaka gani?
Aliahidi kufunga ndoa na rose kamili akamtelekeza akaenda kupora mke wa mtu...josephine
 
Aliye na maisha bora leo hii ni kwa juhudi zake tu na wala siyo kwa kudanganywa eti kapewa. Na ni kwa muktadha huo angekuwa na maisha bora hata kama chama tawala ni TANU,ASP, CCM, CUF, NCCR, UDP, UPDP, CHADEMA, au hata kama bila chama!

Serikali inatakiwa iweke miundo mbinu ambayo itawasaidia wananchi kupandisha maisha yao,mfano mdogo tu serikali ya awamu hii kwenye upande wa barabara imejitahidi,kule shinyanga kunawafugaji wa ng'ombe,wanaofuga kwa kuwalisha mashudu, wanamafanikio makubwa sana,inakuwa rahisi kwa ng'ombe kusafirishwa kutoka shinyanga kwenye uchumi mdogo kuletwa dar es salaam kwenye uchumi mkubwa.Nazani umeelewa?Pia ni rahisi kujiajiri sehemu yenye wakazi wenye kipato kikubwa,Na kipato kikubwa kitapatikana kupitia sera zilizowekwa na serikali husika.
 
Kwani anayoahidi Slaa na Mbowe lipo hata moja walilofanikisha kwa asilimia 70 ?

We ni mgonjwa si bure. Kama huwezi kutofautisha kati ya aliyeko madarakani ambaye kwa sasa ana dhamana ya kutumia kodi zetu na misaada ya wahisani kuleta maendeleo na ambaye yuko pembeni, haustahili hata kugusa keyboard kuchangia mada kama hizi. Yaani wewe ni mweupe, buree kabisa.
 
"Ilikuwaje niendelee tunahitaji vitu vinne
-Watu
-Ardhi
-SIASA SAFI na
-USINGIZI BORA
 
Back
Top Bottom