Yanayojiri: Kwa SMS Hivi Sasa

Yanayojiri: Kwa SMS Hivi Sasa

"Ili tuendelee tunahitaji vitu vinne
-Watu
-Ardhi
-SIASA SAFI na
-USINGIZI BORA
 
Mlemavu wewe unayesubiri.watu wanamaiaha bora kabla hata ta hizo barabara na hospitali unazosemea wewe,sasa kwa akili zako za mtumba,endelea kuisubiri serikali.

Bado sielewi unabisha kitu gani! Unaweza ukawa na gari lako zuri,,nyumba nzuri,watoto wako wanasoma shule ya bei mbaya lkn kama unaishi mitaa michafu,ujenzi holela,barabara mbovu,Umeme na maji ya shida,usalama hakuna,unatoa rushwa kupata huduma za msingi,kama unadhani hayo ndiyo maisha bora wewe ni Bulicheka!
 
Source ya hela za Serikali ni kodi zetu!

na najivunia kwamba nalipa kodi nzuri; so I'm doing my job kuhakikisha maskini wazee na watoto wanapata hizo huduma; wengine fanyeni kazi... huduma za serikali ni basic services; maisha bora ni wewe mwenyewe!

Ndio maana pamoja na kuchangia serikaili kupitia kodi yangu; sitibiwi kwenye hospital zao, na sisomeshi watoto wangu kwenye shule zao... hope this make sense.

It doesn't make sense. Sasa unalipa kodi ili zijengwe shule asome nani?

Hospitali atibiwe nani?

Waliposema maisha bora kwa kila mtanzania walimaanisha kwamba watatumia kodi zetu wisely na kujenga shule na hospitali zinazotoa huduma bora. Ila kwakua akili zao ndio hizi za kizandiki, wizi na unyonyaji kama zako ndio maana wanajenga shule na hospitali za hovyo na kodi zetu kuziiba na kupeleka watoto zao kwenye shule na hospitali bora.

Sidhani kama unashauri tuache kulipa kodi na kila mtu apeleke familia yake ughaibuni kusoma na kutibiwa.

It does not make sense at all. Hujawaza kwa kwa kichwa.
 
Kazi ya serikali ni nini?

Viongozi wa ccm wanapoahidi maisha bora wakati wanajua hawana uwezo wa kuyaleta, ina maana ni walaghai. Ndiyo maama ujumbe unazunguka ukisema, wanapoahidi uwongo wanakuona wewe mwehu ama kweli ni zumbukuku?

Lakini kama hoja yako ni sahihi kwa nini unalilpa kodi, ya kazi gani?

Kwa nini kwanza kuwe na serikali?


Unawezaje kuwabebesha lawama wazee wa east Africa ambao walitimiza majukumu yao ipasavyo lakini wakadhurumiwa haki zao na serikali? Au unaona wao ndio wana makosa?

Naomba ujibu usikwepesha.

Maisha bora hayaletwi na serikali mkuu. Ukisubiri serikali utajikuta unazeeka na mawazo kama wazee wa EA
 
Pole na Majukumu ya kila siku Mtanzania Mwenzangu, vipi Umeshapata MAISHA BORA kama walivyokuahidi CCM Mwaka 2005 Na 2010? Anayekuuliza sio Mwanasiasa! Yaani, Mwanaharakati!! Hebu jiulize
wanaotoa Ahadi Wanakuonaje Wewe?
1.Ni -----
2.Ni Mjinga
3.Mpumbavu
4.Mwehu
5.Mwendawazimu
6.Una Ubongo wa kuku Yaani, Msahaulifu.
Mbona Wenyewe wana Maisha Bora! Kwanini wewe huna au Wenzetu sio Watanzania? Kazi Kwako Mwaka 2015 Nikutakie Tafakari Njema MATUMAINI NA JIoni NJEMA

Hata mimi nimetumiwa hiyo.
 
Ni aibu kuona baadhi ya watu humu ndan iwe ni kwa makusudi au bahat mbaya wajidai hawa elewi umuhimu wa serikal kuwapatia wananch wake maixha bora...... CCM imexhidwa kwa miaka 52 ya uhuru kuwapatia wananch huduma bora za afya, elimu bora, miundombinu bora n.k...
 
Back
Top Bottom