Pole na Majukumu ya kila siku Mtanzania Mwenzangu, vipi Umeshapata MAISHA BORA kama walivyokuahidi CCM Mwaka 2005 Na 2010? Anayekuuliza sio Mwanasiasa! Yaani, Mwanaharakati!! Hebu jiulize
wanaotoa Ahadi Wanakuonaje Wewe?
1.Ni -----
2.Ni Mjinga
3.Mpumbavu
4.Mwehu
5.Mwendawazimu
6.Una Ubongo wa kuku Yaani, Msahaulifu.
Mbona Wenyewe wana Maisha Bora! Kwanini wewe huna au Wenzetu sio Watanzania? Kazi Kwako Mwaka 2015 Nikutakie Tafakari Njema MATUMAINI NA JIoni NJEMA
Maisha bora hayaletwi na serikali mkuu. Ukisubiri serikali utajikuta unazeeka na mawazo kama wazee wa EA
Maisha bora ni mipango na jitihada zako.
Kwa hiyo hao wanaoahidi maisha bora kwa kila mtanzania ni changa la macho tu?
Maisha bora hayaletwi na serikali mkuu. Ukisubiri serikali utajikuta unazeeka na mawazo kama wazee wa EA
ona huu msukule nao kwanini muliweka kwenye ilani yenu ya uchaguzi!
kwani we una tafsiri vip maisha bora?
Maisha bora ni mipango na jitihada zako.
Mlemavu wewe unayesubiri.watu wanamaiaha bora kabla hata ta hizo barabara na hospitali unazosemea wewe,sasa kwa akili zako za mtumba,endelea kuisubiri serikali.[/QUOTE
akili kisoda nguvu kontena inamaa kodi yako inafanya nini
Sikuhitaji ahadi za CCM au chama chochote kujitengenezea maisha bora... yes nina maisha bora ukilinganisha na 2005, 2010 lakini kwa juhudi zangu... Na ukweli utaendelea kuwa hivyo daima.
Maisha bora ni mipango na jitihada zako.
Maisha bora hayaletwi na serikali mkuu. Ukisubiri serikali utajikuta unazeeka na mawazo kama wazee wa EA
Vipi zile ambulance alizopewa msaada Lema pale Arachuga ameshazipeleka kwa wananchi au bado zimebadilishiwa matumizi?
Kwani anayoahidi Slaa na Mbowe lipo hata moja walilofanikisha kwa asilimia 70 ?
Lema, Mbowe na Slaa hawakuahidi mtu yeyote maisha bora kwa kila mtanzania.. Msiwe wanafiki kwa kukwepa hoja kijinga jinga. Kikwete na wafuasi wake walikiri wenyewe kuwa wana uwezo kuwafanya watanzania waishi maisha bora. Je, wametimiza ahadi yao? Msilete longo longo.
Hata wauza unga,pembe za ndovu na watoto wa mafisadi wamefanikiwa sana kipindi hiki Uko sawa yawezekana Uko kundi hilo sishangai,kama deni LA Taifa limeongezeka, dawa hospital hakuna hiyo JUHUDI yako binafsi imetatuaje kuhusu TanzaniaSikuhitaji ahadi za CCM au chama chochote kujitengenezea maisha bora... yes nina maisha bora ukilinganisha na 2005, 2010 lakini kwa juhudi zangu... Na ukweli utaendelea kuwa hivyo daima.
Msukule ni ule unaosubiri kulishwa kama wewe unaetaka maisha bora yakufuate kitandani.
Kama mlijua hivyo kwa nini hamkuwapiga wanafik walipowadanganya watanzania kuwa watawaletea maisha bora? Au nyie wenyewe ni vipofu kisiasa?
Kwa hiyo hao wanaoahidi maisha bora kwa kila mtanzania ni changa la macho tu?
Maisha bora hayaletwi na serikali mkuu. Ukisubiri serikali utajikuta unazeeka na mawazo kama wazee wa EA
Sikuhitaji ahadi za CCM au chama chochote kujitengenezea maisha bora... yes nina maisha bora ukilinganisha na 2005, 2010 lakini kwa juhudi zangu... Na ukweli utaendelea kuwa hivyo daima.
Source ya hela za Serikali ni kodi zetu!Kabisa, naona umejenga Shule yako, Hospitali yako, Unadhibiti thamani ya shilingi, umejenga barabara, na unapanga vizuri matumizi ya kodi zinazolipwa. Hakika huhitaji serikali ili jamii iwe na maisha bora.