WISTON MWINUKA
Member
- Apr 29, 2012
- 81
- 4
Nipo kwenye eneo la mkutano watu wamejaa ajabu,viongozi punde watafika hapa kuhutubia,mengi nitazidi kuwajuza!
Nipo kwenye eneo la mkutano watu wamejaa ajabu,viongozi punde watafika hapa kuhutubia,mengi nitazidi kuwajuza!
mkutano gani..magamba au?Nipo kwenye eneo la mkutano watu wamejaa ajabu,viongozi punde watafika hapa kuhutubia,mengi nitazidi kuwajuza!
Mkuu kwani hukuona picha za mkutano wake...hakika hata mwenyekiti wa chadema kata moja wapo hapo iringa ange mfunika............Kuna mtu alituarifu jana kuwa Nape amesambaratisha Chadema Iringa.
Watu ni wengi na wengi ni vijana walio kuja kwa nauli zao wala sio malory.
Jamani nimeshindwa kuweka picha naomba msaada
.nipo hapa kwa juu wanauza mitumba kuna view nzuriumesimama kwa wapi mkuu nipo eneo la tukio..