Leo CHADEMA wapo irina. Muda huu mkutano ndo unaanza. Tunaye kamanda Tundu Lissu, kamanda Mnyika, Halima Mdee, dogo Nassari na wengine wengi.
Ninachoona sasa CCM haina kitu Iringa.
mhhhhhhh!?Polisi waliopo kwenye mkutano ni wale ambao ni mashabiki wa CDM maana ni wadogo wadogo tu!!
.Mkuu Expedito unaweza jaribu kufanya zoezi la kuweka picha hapa?maanake mimi mitambo yangu inasumbua kidogo!kwa kuwa tupo wote hapa naomba tusaidiane katika hili.Zitto anaongea. Anaongelea mfumko wa bei.
mweee sikuwa aware kabisaaa inaaana mfanyakazi anayelipwa 200,000 kwa mwezi = 200,000x12 = 2,400,000 kwa mwaka analipa kodi wakati mfanyabiashara anayepata 3000000 kwa mwaka halipi kodi....ngoja nipigwe ban potelea pote.Mwananchi mmoja anamtuma msigwa akamwulize mgimwa sababu ya kufuta kodi kwa wafanyabiashara wanaoingiza zaidi ya Tsh. 3000000 wakati walimu wanaolipwa Tsh. 1500000 kwa mwaka wanalipa kodi