Yanayojiri katika Mkutano wa CHADEMA Iringa...

Lidia Mwaipaja mratibu wanawake CDM mbeya anazungumza

Mwinuka, wewe ni kiongozi wangu mkubwa katika CHADEMA Iringa. Unapaswa kutujuza wamesema nini, hilo ni la muhimu zaidi ya kusema fulani, fulani mara fulani wamezungumza. Walichosema ndicho twakihitaji zaidi.

Jambo silisemi kwa Mwinuka tu, bali kwenu ninyi nyote mliopo viwanja vya Kihesa.
 
Zitto amesema kila mtanzania anadaiwa Tsh. 488000. Hata anayezaliwa leo anadaiwa hiyo fedha. Baada ya hapo CCM wamekata umeme kwa dakika 5 hivi. Baada ya umemekurudi ametoa zoezi na mwananchi mmoja amejibu maswali yote akapewa Tsh. 5000
 
Kijana mmoja amejibu swali linalohusu kila mtanzania anadaiwa sh ngapi,na amejibu vyema kwamba deni ni sh.488000.Mh Zito amemzawadia kijana huyu sh.5000/=kama motisha.
 
Lidia Mwaipaja mratibu wanawake CDM mbeya anazungumza

Mwinuka, wewe ni kiongozi wangu mkubwa katika CHADEMA Iringa. Unapaswa kutujuza wamesema nini, hilo ni la muhimu zaidi ya kusema fulani, fulani mara fulani wamezungumza. Walichosema ndicho twakihitaji zaidi.

Jambo silisemi kwa Mwinuka tu, bali kwenu ninyi nyote mliopo viwanja vya Kihesa.
 
Du mpaka mda huu nashindwa kuelewa ni magamba wameblock image zisitumwe au ni vipi maana hata picha moja cjaona
 
Pamoja makamanda. Huku Arusha makamanda wanapanga ratiba ya kesho kufungua matawi arumeru na kutoa pole kwa familia ya marehem mbwambo
 
Mkutano umekwisha,kiujumla yaliyozungumzwa ni pamoja na Mh.Zito kukiri wazi kwamba ataipinga bajeti hii kwa kuwa haiwagusi wananchi wa kawaida,Pia amedai kuwa hawatavumilia upuuzi unaotendwa na CCM na amewaomba wananchi wakiungue mkonö chama cha CDM katika safari ya ukombozi.Hapa wananchi wanasukuma gari la waheshimiwa wabunge kutoka kihesa eneo la mkutano kuelekea mjini.
 
Kuna mwalimu mmoja amepanda jukwaani analia anasema kama kudharaulika walimu wamedharaulika sana

Kama kudharaulika walimu wamejidharaulisha. Sidhani kama ukiwa unateseka kuna mtu atakuja kukuambia chukua hatua hapo ulipo unateseka. Unatakiwa uone mwenyewe kuwa uanateseka uchukue hatua madhubuti.
 
Back
Top Bottom