Yanayojiri Fiesta kutoka viwanja vya Leaders Club, Kinondoni - Dar es Salaam

Ila Kiba aliita watu wengi sana,Yule Dimpoz ameishiwaga.

na watu hawapendagi tena yeye.
 
Nilijua tu utakuja na utetezi huu,hata ingekuwaje sitegemei kuona positivity kutoka kwako juu ya Kiba.

The video is amazing ila Dimpoz kachemka aiseee,sijui Kiba asingembeba huo wimbo ungekuwaje.
Nimependa walivyovyaa Kiafrika...inapendeza.
Mimi nasisitiza tena Kiba ashauriwe apunguze hivi 'vikolabo'. Yani sijui kwanini mtu makini kama seven anaruhusu msanii wake atokee kwenye vikolabo kila kukicha tena wasanii ambao sio heavyweights??
Kuna tatizo kwenye management au yeye mwenyewe kingi ndio ana tatizo..

Alafu Nifah mimi napenda sana mziki wa Ali kiba, mfano ile nyimbo yake ya Hadithi aliyomshirikisha Mr. Mims aisee ile ni moja kati ya nyimbo zangu bora za Bongo Fleva.. Au hii nyimbo ya cheketua daaaaahh imenishika na moja ya nyimbo ninayoisikiliza sana..
nikugeuze princess sema nini unatakaaa unavyobiringa bayoyoooo hivyo ndo mi nataka sana sanaaaa

Hahahahahaha!! Mashallaaaaahh kijana amejaliwa kipaji na anajua kuimba ila mimi kuna vitu vidogo vidogo ananiboa sana..
 
Aiseeee kuna mtu niliwahi kumuambia kuhusu huo wimbo wa Hadithi.
Aliniuliza ni upi wimbo wako bora wa miaka yote kutoka kwa Kiba?
Bila kumung'unya maneno nilimjibu Hadithi...naupenda sana huu wimbo.

Dharau na matusi yoteeee,nilivumilia
Wakiweko marafiki woteeee wakishuhudia...
Acha kabisa mkuu,video yake ndio usiseme ile mikogo ya Kiba ndio nafwa kabisa u know

Kiba anajua sana,na zaidi ni sauti maridhawa aliyojaaliwa Maa Ash Allah!

Hii collabo ya Ommy sijaipenda,halafu Kiba angemchunia tu Ommy mnafiki sana.
Nikikumbuka kipindi Kiba anarudi na Mwana aliyomfanyia basi tu.
 
Back
Top Bottom