Yanayojiri Fiesta kutoka viwanja vya Leaders Club, Kinondoni - Dar es Salaam

Sijui kwanini wanamuziki wa kibongo inapokuja ku perform live ukiondoa christian bella wengi wanaimba tofauti na nyimbo zao tunazoziona kwenye luninga na redioni. Pumzi na key zinapotea sijui tatizo liko wapi.
Bella anapiga live show kila wikend.. So hata umwamshe sa nane usiku hawezi haribu.. Pia katika utengenezaji wa nyimbo zake studio, wanaopiga vyombo ni haohao wanaokuja kumpigia vyombo stejini so wanajua wanachokifanya yaani wana chemistry..
Si umeona alivopanda steji kapanda na wapiga vyombo wake
 
Wasanii waliopiga asubui imekula kwao , Show iliisha baada ya Kiba kushuka Ukumbini kwa watu wenye akili.
 
Kumbe ndio maana kuna dini zimepiga marufuku muziki, yani tangu jana mpaka muda huu wa swala swala bado tu shetani anaimbiwa pambio? Tutaenda saa ngapi Nsikitini? Na je wale wagalatia wa misa ya kwanza? Hii haijakaa sawa.
Sidhani kama kweli we ni mwabudu wa ukweli, nadhani ni miongoni mwa wale wanaopoteza usingizi bure lkn hujui unachofuata huko msikitini. Mcha Mungu hawezi kutumia maneno kama haya
 
efb4870372273e25eee8afcd8a501de9.jpg
Hahahaha mkuu idakubaku kumbe ndo wewe, naona umejisahau uka screen shot nimeona picha ya wife ndio nikakujua Hahahaha nimefurah Sanaa aisee
 
Kiba katisha mbaya Sana
Kiba hamna kitu
Kiba hakika we ni mwanamuziki umenifungia shoo ngoja nilale sasa
Ingekuw poa kama ungemlinganisha raymond na kiba ndo inaleta maana
Hahaaaa watu wanalazimisha kubaki kwa stage bora blue umerud tena
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
eti live band mbadoooo
Kiba angeacha kiburi na angepata management nzuri angefika mbali sana

1.Yuko active jukwaani na amerelax (hana pressure)

2.Sauti inasikika vizuri na muziki unasikika vizuri

3.Nyimbo zake zinaimbika na kuchezeka
kuna umuhimu wa kiba na bella kupewa hawa wasanii wawafunze kupiga live.
Kiba na Bella wanauwezo mkubwa sana kwenye live ila kwa wafia ushabiki hawata liona hilo.
 
Wadau eeeh?Tulikuwepo jama...
Jukwaa lenu sasa,nisalimieni The bold


Mimi katoto ketu Vany bway kalivyomaliza tu kuperform nikaenda zangu kulala maana alifunga shoo.. Najua leo mtaani ubishi utakuwa 'RayVany na Kiba' nani mkali..

Na kusema ukweli balaa alilolifanya dogo Vanny, Kingi ameachwa mbali sana kwa maana ya kumiliki jukwaa na kuamsha popo! He is learning from the best
 


Mimi katoto ketu Vany bway kalivyomaliza tu kuperform nikaenda zangu kulala maana alifunga shoo.. Najua leo mtaani ubishi utakuwa 'RayVany na Kiba' nani mkali..

Na kusema ukweli balaa alilolifanya dogo Vanny, Kingi ameachwa mbali sana kwa maana ya kumiliki jukwaa na kuamsha popo! He is learning from the best

Huu sasa ni uchokozi!

I wonder umesema baada ya show ya RayVany ulilala,halafu unaconclude King ameachwa mbali.

Tell me that is a joke
 
Huu sasa ni uchokozi!

I wonder umesema baada ya show ya RayVany ulilala,halafu unaconclude King ameachwa mbali.

Tell me that is a joke


Si nimeona clip za show ya kiba mitandaoni! Ameimba vizuri lakini bado hana amsha amsha ile.. Kiba msanii mzuri sana ila daaaahh something there is missing..

Alafu umeona video yake mpya na dimpoz!! Aiseeee
 
Shetani kamshinda Mungu?

Wanafunzi walikuwa wanalilia mikopo HELSB mpaka DARUSO wametoa matamko kumbe walikuwa wanataka hela ya FIESTA.

Jana mikesha ya makanisa ilikuwa michache,mlimani city hamna watu,baa na mighahawa hamna watu wote wameenda Fiesta,hela za walala hoi wamepewa na Ndalichako kutumbua wa wanawake Fiesta,eeh Mungu ziwatoker puani,walio TOMBEA na wapate ujira wake ikiwa ni UKIMWI,Mimba na magonjwa ya zinaa yasiyopona maana wanatufanya sisi vikaragosi,yaani jana nimepita udsm hamna bijana naambiwa wote wapo leaders sikuamini ni wale walikuwa wanalia eti mkopo.

Magu na Ndalichako watoto wadogo wamewaingiza mkenge,eti hela za mkopo/HELSB,asubuhi hii wanafunzi wapo GESTI wanasuguana kwa hela za walipa kodi.

Waliosuguana usiku sasa hivi wapo BREAK POINT wanakunywa SUPU YA SWALA wakati mama zao wanakunywa CHAI BILA SUKARI NA KIPANDE CHA BOGA PORI!

Mungu shuka kwa moto uwaadhibu wote waliofuja hela za walala hoi!
Hela wamekopeshwa ndg.....hautawasaidia kulipa.....kwani ww ukikopa vicoba unapangiwa matumizi?Mbona uliowatuma bungeni wanasusia vkao au wao wanakula pesa zao sio za walala hoi?
 
Jamani Baraka kaandika nini huko instagramu baada ya kuchanwa na Raymond?
 


Si nimeona clip za show ya kiba mitandaoni! Ameimba vizuri lakini bado hana amsha amsha ile.. Kiba msanii mzuri sana ila daaaahh something there is missing..

Alafu umeona video yake mpya na dimpoz!! Aiseeee
Nilijua tu utakuja na utetezi huu,hata ingekuwaje sitegemei kuona positivity kutoka kwako juu ya Kiba.

The video is amazing ila Dimpoz kachemka aiseee,sijui Kiba asingembeba huo wimbo ungekuwaje.
Nimependa walivyovyaa Kiafrika...inapendeza.
 
Back
Top Bottom