Yanayojiri Fiesta kutoka viwanja vya Leaders Club, Kinondoni - Dar es Salaam

Aiseeee kuna mtu niliwahi kumuambia kuhusu huo wimbo wa Hadithi.
Aliniuliza ni upi wimbo wako bora wa miaka yote kutoka kwa Kiba?
Bila kumung'unya maneno nilimjibu Hadithi...naupenda sana huu wimbo.

Dharau na matusi yoteeee,nilivumilia
Wakiweko marafiki woteeee wakishuhudia...
Acha kabisa mkuu,video yake ndio usiseme ile mikogo ya Kiba ndio nafwa kabisa u know

Kiba anajua sana,na zaidi ni sauti maridhawa aliyojaaliwa Maa Ash Allah!

Hii collabo ya Ommy sijaipenda,halafu Kiba angemchunia tu Ommy mnafiki sana.
Nikikumbuka kipindi Kiba anarudi na Mwana aliyomfanyia basi tu.
Ule wimbo wa Hadithi wallah Kiba aliimba na alidhihirisha umahiri wake wa kuandika tungo tamu..

ulinambia unanipenda sanaaa nikusaidieeee, roho yako inadunda ukiniona nikuhurumieeee kwa mambo mengi uliniumiza roho, kwa uyaonayooo tabia yangu pia ilikuvutia, ikawa ndo hivyooo kama dhumuni lilikuwa mapenzi, tulipendana kwa dhati kiss nakiss, kuna wazushi na wanoko siku hizi mapenzi ya kweli bila hirizi



Wallaaaahhh huu wimbo kiba aliimba..
And i tottally agree with you, kiba angemchunia tu huyu dimpoz ni mnafiki sana alafu ni mdananda uchwara! Hata mziki wake ni wa ujanja ujanja tu ila jamaa ni kipajiless..
 
Shetani kamshinda Mungu?

Wanafunzi walikuwa wanalilia mikopo HELSB mpaka DARUSO wametoa matamko kumbe walikuwa wanataka hela ya FIESTA.

Jana mikesha ya makanisa ilikuwa michache,mlimani city hamna watu,baa na mighahawa hamna watu wote wameenda Fiesta,hela za walala hoi wamepewa na Ndalichako kutumbua wa wanawake Fiesta,eeh Mungu ziwatoker puani,walio TOMBEA na wapate ujira wake ikiwa ni UKIMWI,Mimba na magonjwa ya zinaa yasiyopona maana wanatufanya sisi vikaragosi,yaani jana nimepita udsm hamna bijana naambiwa wote wapo leaders sikuamini ni wale walikuwa wanalia eti mkopo.

Magu na Ndalichako watoto wadogo wamewaingiza mkenge,eti hela za mkopo/HELSB,asubuhi hii wanafunzi wapo GESTI wanasuguana kwa hela za walipa kodi.

Waliosuguana usiku sasa hivi wapo BREAK POINT wanakunywa SUPU YA SWALA wakati mama zao wanakunywa CHAI BILA SUKARI NA KIPANDE CHA BOGA PORI!

Mungu shuka kwa moto uwaadhibu wote waliofuja hela za walala hoi!
tobaaa!!

 
Wanajukwaa leo ndio sikukuu ya Wapenda burudani wote ambapo wasanii mbalimbali wakiwemo manguli kadhaa kutoka Africa..

Kuna Jose Chameleon kutoka Uganda,Teknomiles na Yemi Alade kutoka Nigeria..na wasanii mbalimbali kutoka Tanzania

Tukio hili liko Live kupitia Clouds Tv sasa hivi,kama mdau wa burudani...Dondosha chochote ukionacho kupitia cloudstv,nani amemiliki jukwaa,nani ameboa.

Karibuni
Fiesta ilokuwa zamani, wasanii wa Kimataifa walialikwa. Siku hizi wamejaa wa hapa hapa home
 
Back
Top Bottom