DuppyConqueror
JF-Expert Member
- Mar 30, 2014
- 9,466
- 6,961
Upinzani unaouzungumzia ni upi huo mkuu...
Uko sahihi...hapa Tanzania hakuna upinzani...ni mfano wa upinzani tu
Upinzani unaouzungumzia ni upi huo mkuu...
Wala sio tonnes of luggages kwenye trucks. Tatizo ni kuwa barabara zinajengwa chini ya kiwango (10%), mfano wa Barabara hizo ni boko magengeni- mbweni, Bagamoyo road. Tatizo letu tunaweka lami kama tunapaka rangi za mdomo.
Ni kweli swala la uzembe wa uzito wa magari kutozingatiwa ni mkubwa sana tu. na siyo uzembe pekee katika utendaji wa serikali hii. Kuhusu barabara mbovu, nadhani tuanze na za hapa jijini tu. Kwa hapa barabara amabzo ni nzima ni zipi kama siyo ya Sam Nujoma, Morogoro rd na kidogo AH mwinyi? Angalia zingine za kwenda Bagamoyo zimeshachoka hata kabla ya kukabidhiwa. hizi za mitaani ndiyo zimebaki mashimo mpaka gari linazamisha tairi nzima!
No mpendwa, kwenye barabara bado sana.
hivi Tanzania ni dar es salaam pekee mbona tunakuwa wavivu kufikiri...haina maana natetea ila penye ukweli tuseme.....kwasasa unaweza toka mtwara hadi musoma au mwanza kwa lami kitu ambacho hakikuwa hivyo watu walikuwa wanalala njiani kutokana na ubovu wa barabara mwenye historia na safari za kwenda mtwara aseme hapa hali ilikuwaje, safari za mwanza jeee...tuacheni propaganda zisizo na maana penye ukweli pamoja kama taifa tusimame tupongeze