Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Trh 16 Aprili 2014 - Majadiliano ya bunge zima sura ya 1 & 6

Hee wewe unaangalia bunge gani? Hivi matusi ya Lisu ndio hoja na usomi, kama hujui huo ni upumbafu na kifo kisiasa.
 
Kharifa Kharifa anasema;
Kwanini tumefika mahara kwenye chombo kama hiki baada ya kuleta hoja tunatukanana? woga huu wa nini?
Mimi tume ya walioba naiunga mkono. Hawa walikua 30 sisi tupo 600 na kitu.

Walioba alisema tutanganishe mamraka ya muungano ya tanganyika na zanzibar yakae mbali. Je ni halali mabolozi kutoka zanzibar wawe wanne tu? je Zanzibar haifai kupata kiongozi mkuu jeshini? Tusikie humu ndani tukatukanana bure hadi kuwatukana viongozi wa nje. Mtu anaongea ubaguzi wa unguja na pemba mnampigia makofi. mtu anakuja huku anajisifia kwa kabila lake mnampigia makofi -------- kama huyu. turudi tujadili maada.
 
Mie pia nimemshangaa huyu mchangiaji kwa kupendekeza jinsia iwe tunu kwenye rasmu yetu ya katiba, nadhan kaishiwa point ndio maana kaingiza hako kapoint. Masikini sie watz lakitatu zetu hizooooo! Mikononi mwa wanaojali matumbo yao tu.
 
Hadifa anahoji juu ya ubaguzi wa kikabila na matusi yanayoendelea ndani ya bunge.
 
Membe anaituhumu tume kwa kupanga na kuratibu mauaji ya muungano

Magamba kweli ni shida wao walipokuwa wanaua AZIMIO LA ARUSHA baba wa taifa yungali hai tena kwa hoja mufilisi ya soko huria je Baba wa taifa hakupiga kelele? Kapi ni muhimu mpaka kesho Azimio la Arusha au Muungano? Kinachoshangaza eti huyu nae anataka Urais akitutaka tuendelee kuishi kwenye zama za UWONGO hatukubali.

BACK TANGANYIKA
 
Wasira alikimbia ccm kwenda nccr na akarudi ccm baada xta nyerere kufa.

ndo ukweli huo na huyu jamaa ati na yeye huwa anajidai mfuasi kweli kweli ni wa mwalimu ana mfanyia dhihaka mwalimu hadharani
 
Mapinduzi ifike wakati yakabaki historia Zanzibar,haiwezekani kila siku hawa wahafidhina kama Waziri Rajab na wenzake kuyatumia ili kujihakikishia kuwa madarakani dhidi ya wapemba. Katiba ni maridhiano,na kama hayapo pesa za walipa kodi zinapotea bure. Muungano kama ni wa wananchi hasa wazinzibari ambao ndo wanaonekana kuupinga waulizwe,maana kitendo cha kila mjumbe wa ccm kusimama na kutetea muungano kuna uwezekano mkubwa unaotetewa ni muungano wa TANU na ASP. Na kina . Waziri wanajua bila hivyo hakuna mapinduzi daima Zanzibar
 
Yule kipofu anataka kujinyea tena hapa.
Huyu mtu siku zote huwa anatumia sympathy na macho yako yake kueleza uchafu wake.
 
Membe ameonyesha wazi kuwa uwezo wake ni mdogo na hana uwezo wa kuwa Rais. Anatoa mfano wa Ujerumani kuhusu kodi alafu anataka aukimbie tena....
 
Kipofu tena:
anaongea juu ya Tanzania ambayo hajawahi kuiona kwa macho yake tangu azaliwe na ndio maana mwenyezi mungu kampa pigo la macho.
 
Jusa alikuwa kweli:
"Taarifa ya Amoni Mpanju ni ya kupuuzwa kama tunavyompuuza yeye mwenyewe"
 
Mpanju,
Anaomba wanaosema kama serikali tatu zisipopita wako tayari kwa lolote anasema siyo vema kuungana nao.
Anamwambia jusa kuwa anamchezea mungu kwa kuwapuuza walemavu ajue hata yeye anaweza kupata mlemavu wakati wowote.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom