Mkuu tunaangalia mabunge mawili tofauti?hayo maneno kasema mh.chilolo na si mama kabaka
Lissu ni Jemedari...
Dear JF Members,
Let us ask ourselves a simple but tough questions,
Is the union between Tanganyika and Zanzibar popular today as it had been before?
Provide your positions with some concrete example supported by authorities,
Hope to bring light to young generations,
Does the young generation knows how the union was formed,how the founders met,with what objectives,
With regards,
Elisante Yona
tundu lissu anasitiza hati haipo na sio halali,na leo kikwete sio mkuu wa nchi ya znz,wala sio mkuu wa majeshi ya znz,na kutakuwa na mzanzibar sio mtanzania kwa mujibu wa katiba ya zanzibar hata kiprotokali kwenye sherehe za mapinduzi kikwete anapanga foleni kuingia uwanjani,dk sheni anapigiwa mizinga bila kufanya masahihisho sasa mpele ni giza na vita na watakaoanzisha vita ni hawa ambao wanajidai hawaoni haya
Lisu amehoji yafuatayo:
1. Utakatifu wa mwl. Nyerere mpaka asikosolewe.
2. Uhalali wa hati ya makubaliano ya Muungano na sahihi zilizopo.
3. Mkanganyiko wa katiba ya Zanzibar na Tanzania.
Membe sasa,anaongea kama Mama Salma,taratibu akiamini ana hoja kumbe hola,eti Mwisho atamjibu Lisu,Lisu hajibiwa,anaungwa mkono