Hii ni hatari wazee kwa mtu anayejiita msomi tena waziri kuweka takwimu feki ooh!
Mara trilini 7, kwa bara na bilion 300 kwa zanzibar.
Hana data huyu mtu ni mweupe kumkichwa na hana jipya zaidi ya kulaumu watu.
Anatukana wanademokrasia kuwa tumevimbiwa demokrasia hii ni uchafu wa kinywa cha huu mtu .
Oluochi ameumbuka vibaya huyu makamu wa rais chama cha walimu kaweka wazi uongo wake wote kuwa walimu wanataka serikali tatu kumbe ni uongo mtu ila walimu walitaka serikali moja sijui oluochi anatafuta nini kwa kudanganya.
Mkuu nashukuru kwa kunifumbua macho ndiyo maana michango yake iko kichuki sana kwa wale wanaosapoti serikali mbili hata kama wanahoja.skype ni mkereketwa wa serikali 3.siku ikishindikana anaweza kupata blaadpresha.
Jana nilikuwa namwaga sumu ikabidi anizuie kuchangia nami kwa kuhofia asije kupanda presha nikakaa kimya.
Mie sipendagi murder case.
skype ni mkereketwa wa serikali 3.siku ikishindikana anaweza kupata blaadpresha.
Jana nilikuwa namwaga sumu ikabidi anizuie kuchangia nami kwa kuhofia asije kupanda presha nikakaa kimya.
Mie sipendagi murder case.
Niliwahi kusikia eti huyu Mwigulu ana masters ya uchumi daraja la kwanza ni kweli? Sasa mbona uwezo wake wa uchambuzi mambo ya gharama za uendeshaji serikali ni wa chini kiasi hiki?
Tena bahati mbaya zaidi katunukiwa cheo cha naibu waziri wa Fedha. Kumbe ndio maana nchi hii imekwama haisongi mbele.
Sent from my iPad using JamiiForums
Unakumbuka wakati jana anatoa tarifa kumpa mjumbe mmojawapo aliyekuwa anachangia alisema nini?Acha kupotosha Oluochi alisema msimamo wa chama ni serikali 1 kwa kuwa mbili hazivumiliki lakini kwa kuwa rasimu imekuja na suluhisho la serikali tatu basi msimamo wao utakua huo na si serikali mbili kwa kuwa walikwisha zikataa.
Mwigulu kauliza suala la msingi.
Serikali inakusanya trilion 7.5.
Kati ya hizo trilion 4 zinalipa mishahara.
Trilion 3.5 ndo zikafanye maendeleo.
Serikali mpya ya muungano itahitaji takriban trilion 3.
Ambazo wapi zitatoka hizo pesa.
Tanganyika haijapata hasara yoyote....wenye kupata hasara ni zanzibar- Mjumbe
Mkuu umechlewa ana leo kwenye huu uzi adhimu, karibu