Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumanne, Trh 15 Aprili 2014 - Majadiliano ya bunge zima kwa sura ya 1 & 6

Masauni anasema kuwa wanaodai serikali tatu wanalengo la kuvuja muungano hatimaye walete utawala wa sultani.
 
Hii ni hatari wazee kwa mtu anayejiita msomi tena waziri kuweka takwimu feki ooh!
Mara trilini 7, kwa bara na bilion 300 kwa zanzibar.
Hana data huyu mtu ni mweupe kumkichwa na hana jipya zaidi ya kulaumu watu.
Anatukana wanademokrasia kuwa tumevimbiwa demokrasia hii ni uchafu wa kinywa cha huu mtu .

hoja kama hiyo ni rahisi sana,tupe ukweli
 
Oluochi ameumbuka vibaya huyu makamu wa rais chama cha walimu kaweka wazi uongo wake wote kuwa walimu wanataka serikali tatu kumbe ni uongo mtu ila walimu walitaka serikali moja sijui oluochi anatafuta nini kwa kudanganya.

Acha kupotosha Oluochi alisema msimamo wa chama ni serikali 1 kwa kuwa mbili hazivumiliki lakini kwa kuwa rasimu imekuja na suluhisho la serikali tatu basi msimamo wao utakua huo na si serikali mbili kwa kuwa walikwisha zikataa.
 
skype ni mkereketwa wa serikali 3.siku ikishindikana anaweza kupata blaadpresha.

Jana nilikuwa namwaga sumu ikabidi anizuie kuchangia nami kwa kuhofia asije kupanda presha nikakaa kimya.
Mie sipendagi murder case.
Mkuu nashukuru kwa kunifumbua macho ndiyo maana michango yake iko kichuki sana kwa wale wanaosapoti serikali mbili hata kama wanahoja.
 
skype ni mkereketwa wa serikali 3.siku ikishindikana anaweza kupata blaadpresha.

Jana nilikuwa namwaga sumu ikabidi anizuie kuchangia nami kwa kuhofia asije kupanda presha nikakaa kimya.
Mie sipendagi murder case.

Mku mbona unanivunja mbavu??? hapa kwenye rangi naomba ushahidi
 
Niliwahi kusikia eti huyu Mwigulu ana masters ya uchumi daraja la kwanza ni kweli? Sasa mbona uwezo wake wa uchambuzi mambo ya gharama za uendeshaji serikali ni wa chini kiasi hiki?
Tena bahati mbaya zaidi katunukiwa cheo cha naibu waziri wa Fedha. Kumbe ndio maana nchi hii imekwama haisongi mbele.


Sent from my iPad using JamiiForums


Na hiyo shahada ya uzamili sijui aliipataje, hii nchi ujanjaujanja tu.
 
Mjumbe huyu anatoka kamati namba mbili....na anatoa taarifa ya maana ya muungano kama walivyokubaliana kwenye kamati
 
Acha kupotosha Oluochi alisema msimamo wa chama ni serikali 1 kwa kuwa mbili hazivumiliki lakini kwa kuwa rasimu imekuja na suluhisho la serikali tatu basi msimamo wao utakua huo na si serikali mbili kwa kuwa walikwisha zikataa.
Unakumbuka wakati jana anatoa tarifa kumpa mjumbe mmojawapo aliyekuwa anachangia alisema nini?
 
Yooote kwa yote tujiandae kuikwamisha katiba mbovu itakayopitishwa na wajumbe mbumbumbu wa ccm walioelekezwa kudai serikali 2 tu.
 
Mwigulu kauliza suala la msingi.
Serikali inakusanya trilion 7.5.
Kati ya hizo trilion 4 zinalipa mishahara.
Trilion 3.5 ndo zikafanye maendeleo.
Serikali mpya ya muungano itahitaji takriban trilion 3.
Ambazo wapi zitatoka hizo pesa.

Zitatoka kule ambako hazikusanywi. Kama kwenye madini na hiyo gas nk. Pia yale matumizi na ufisadi uliopo sasa utazibitiwa maana rasimu hii imezungumzia miiko ya uongozi.


Sent from my iPad using JamiiForums
 
Nchi mbili zikiungana either ziwe tatu au moja....nchi mbili zikiungana na kuwa mbili ni kitu gani
 
Tanganyika haijapata hasara yoyote....wenye kupata hasara ni zanzibar- Mjumbe
 
Wadau nauliza nchi mbili zikiungana zinatengeza serikali mbili??

Zanzibar baada ya muungano imebaki na baadhi ya mambo yake, baada ya muungano ilikuwaje tanganyika ikasalimisha mambo yake yoote.. Huo ndio muungano tunaoutaka???

Lazima tukubali tunashida ndugu zangu na huu muungano.
 
Suluhu ya matatizo yote haya ni muundo wa Serikali tatu.....Tanganyika ilojificha kwenye pazia nayo itoke- Mjumbe
 
Mjumbe:Nchi mbili kuungana na kuzaa nchi/serikali mbili ndio muungano gani?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom