manning
JF-Expert Member
- Apr 1, 2013
- 5,093
- 11,948
Kweli mkuu na amemchana kabisa ye co mshaur wa bunge ila jamaa anakomaa kulishauri bunge
He Lisu asijefanya huyu mwanasheria akimbie.
Kweli mkuu na amemchana kabisa ye co mshaur wa bunge ila jamaa anakomaa kulishauri bunge
Huyu mheshimiwa anauelewa mkubwa wa mambo ya kanuni na sheria na hoja zake ni nzito. hakuna gamba anaeweza kuzipangua...Huyu AG mpya anajaribu kupambana nae lakini hataweza.....
Kweli mkuu na amemchana kabisa ye co mshaur wa bunge ila jamaa anakomaa kulishauri bunge
Kikwete yupi yule wa kibosho au kishumundu?kikwete mwenyewe anaelewa hilo.
Kwakipi sasa mpaka akimbie?He Lisu asijefanya huyu mwanasheria akimbie.
haa haa labda sheria ya kusamehe mafisadi ya escrow kama kina chenge na tibaijuka.asante AG linajua sheria kwelikweli kejeli za tundu lisu zimegonga mwamba
Umepewa za uso eeee! Naona unarpoka tu sasa lisu siyo mwanasheria ni mzugaji furani tu.haa haa labda sheria ya kusamehe mafisadi ya escrow kama kina chenge na tibaijuka.
Lisu hayo ndiyo yake kutukana,kejeli vurugu na kukurupuka.asante AG linajua sheria kwelikweli kejeli za tundu lisu zimegonga mwamba
Kwakipi sasa mpaka akimbie?
Kikwete yupi yule wa kibosho au kishumundu?
Kikwete yupi yule wa kibosho au kishumundu?