naxon
JF-Expert Member
- Dec 6, 2014
- 367
- 199
Wakuu kwa wale wote waliofuatilia bunge la jana nazan waliskia alichokuwa anaongea nasar je c alikuwa anachochea machafuko nchin?
Iweje mbunge atoe kaul tata kuwa polis wanaish uraiyan na ipo cku watarud wazikose familia zao?
Nb viongoz kama hawa wawajibishwe vikal kwa kuchochea machafuko
Nikweli lakini mwajibishe kwanza alietoa kauli ya "NA WAPIGWE TU" kwasababu ndiye mwasisi wa kauli za uchochezi na uvunjifu wa AMANI YA NCHI.