Yanayojiri Bungeni Dodoma - 11 Mei, 2016

rusesa

JF-Expert Member
Jun 1, 2013
538
233
Jaman niko nacheki bunge startv sasa hivi. Na pale kwenye screen wameandika LIVE. Kama huamini fungua uangalie startv.
 
HAWANA UBAVU WA KUONESHA BUNGE LIVE MIEZI 6 TU MUYAJUE MADUDU YAO? MTATIBUA MIPANGO YAO BURE HAKUNA MSAFI PALE.
 
Kwa Kauli ya Nape asubuhi wananchi wako busy kwenye KAZI... Alimaanisha nn au kazi zinaanzaga saa4 wanapoyakata matangazo ya live
 
Back
Top Bottom