Yanayojiri Bungeni Dodoma - 11 Mei, 2016

Yanayojiri Bungeni Dodoma - 11 Mei, 2016

Bunge likiwa live mtajua maovu yetu ili mtuadhibu kwenye sanduku la kura ndo maana hatutaki ila tukienda kutumbua ndo mtaona sifa zetu
 
Ni Karibu siku ya 4 nne sasa mimi naangalia bunge kupitia TBC2. Ni Kama leo jioni kuanzia saa 17:00-20:55 kulikuwa na mjadala wa wizara ya afya bunge likiongozwa na Mzee wa vijisenti. Sijui kwa upande wa Asubuhi ingawa nikiwa ofisini nasikiliza bunge Kwenye radio na huwa ni kwa mda mfupi tofauti na jioni
 
Jamani kuna anayejua kwamba bunge limeanza kuoneshwa live?maana mimi leo nimewahi kurudi nikafunguli tbc 2 naona bunge tangu saa 11 na moja mpaka mida hii na ni wizara ya afya.Kama kunaanae jua kama bunge limeanza kurushwa live kupitia tbc 2 atujuze.
 
Back
Top Bottom