Mystery
JF-Expert Member
- Mar 8, 2012
- 15,842
- 31,076
Hapo ndipo unapothibitika ule msemo unaosema njia ya mwongo ni fupi....maswali na majibu siku zote tv zipo live startv tbc na azamtwo
Nape na wabunge wenzake wa CCM walitwambia kuwa hawaonyeshi Bunge LIVE kwa kuwa muda wa kuanzia saa 2 asubuhi hadi saa 10 jioni ni muda wa kazi, kwa hiyo wanabchi hawapaswi kuangalia Bunge LIVE muda huo, badala yake wanatakiwa wawe kazinii kutekeeza slogan ya awamu ya 5 ya HAPA KAZI TU.
Sasa swali la kumuuliza Nape na wanaccn wenzie, hivi huo muda wa kipindi chamaswali na majibu, ambapo ni saa 3 hadi saa 4 asubuhi, upo njee ya ule muda wa kuanzia saa 2 asubuhi hadi saa 10 jioni, ambapo walituekeza kuwa muda huo tunapaswa kuchapa kazi badala ya kuwa kwenye luninga zetu tukiangalia matangazo LIVE ya Bunge?!!!