CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 5,258
- 9,036
Mimi natamani wauane kabisaKuna siasa za majibizano zinaendelea ndani ya uongozi wa juu kabisa wa CCM na serikali kuu. Mheshimiwa Nchimbi haonekani kufurahishwa na hulka za kikazi za RC wa Arusha na hakai na kitu moyoni mwake, anaweka wazi kabisa kutofurahishwa na kauli pamoja na tabia za Paul Makonda.