figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 27,852
- 63,381
Frankly speaking Dj JD ni mtu aliyenifanya nipende muziki! Nipo hapa kumuona after very long time! Nasapoti harakati za wasanii lakini mkono wa Dj JD umenishawishi sana kuwa hapa!!
Dah!I wish ningekuepo.Uwanja umeshapata moto na watu wako moto!so far Wabunge Mnyika na Joyce Mukya wameshafika kumpa shavu Sugu.Mweyekiti wa BAVICHA Heche na Katibu wa Baraza hilo nao nawaona hapa!
nawapitia tu.
pamoja sana kamanda tuko njiani tunakuja update uendelee kutupa..leo ndo music wetu unazaliwa upya'na picha usisahau
Mkuu mwulize kamanda Sugu ninani muuzaji wa hicho kitabu huku kwetu mwanza,pia endelea kutupatia updates.Pamoja sana mkuu
Dada yangu Regia, swali dogo tu. Madhumuni ya kusoma hicho kitabu ukiwa bungeni ulikuwa na dhamira ya kutoa quotes ndani ya hicho kitabu kwa shughuli za kibunge au ulikuwa unasoma tu kwa sababu kilikuvutia. Najaribu tu kupata uelewa, ni vipi ukisome bungeni wakati unatakiwa kuwa bize na shughuli zilizokupeleka ndani ya mjengo. Hicho kitabu kilikuwa na mchango gani kwenye miswada ilyosomwa kwenye session iliyopita?
I'm not trying to pick on you but am trying to comprehend what's going on in mjengoni.
Naona Dr. SLAA naye anaingia hapa akiwa na my waifu wake. Wamependeza sana kwakweli.